Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi.

Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
 
Tanesco,
 
Ukosefu wa umeme usababishwao na ukame wa akili na si wa maji
 
Back
Top Bottom