Tanesco,Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi.
Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
Ni huduma???Wizi wa pesa zetu unaofanywa na viongozi wetu wakuu!
🤣Hawa ndio wanaofeli mitihani kizembeNi huduma???
Ukosefu wa umeme usababishwao na ukame wa akili na si wa majiMwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi.
Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
NDIYOOOO! Ndo kinaathiri huduma nyingine zote! Kama si wizi, kwa mfano, tusingekiwa na mgao wa umeme unaoendelea sasa, bila maelezo ya msing!! Think outside the box!Ni huduma???