KERO Huduma kwa wateja UTT Amis ni mbovu, simu zinakatwa au hazipokelewi kabisa na kwenye mitandao ya kijamii hawajibu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?

Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi ambayo tunayo hayajibiwi kwa wakati, wakati simu zao wameweka na wameahidi kupokea na kujibu hoja za wateja wao.

Shida haiishii hapo, hata ukija kwenye mitandao yao ya kijamii utaona wanapost zao mpya kila siku lakini ukihoji nini kinaendelea, kwa nini customer care imekuwa chini hakuna anyejibu. Watujulishe wadau kama huduma ya simu haipo tena ili tujue inatulazimu kufika ofisini kwao hata kwa mambo madogo.
 
Kuna siku nilihoji kuhusu hawa jamaa hapa nikashambuliwa kweli kweli na watu naodhani ni wapiga debe wao. Na nilihoji kwa nia nzuri tu ya kujua. Uzefu wangu unaniambia kwenye mambo ya fedha ukiona unapotaka kufahamu zaidi au kuhoji mambo na ukashambuliwa sana, basi kaa mbali.
 
UTT-AMIS haina ubaya wowote, mifuko kama UTT iko duniani kote. Suala la simu ni uzembe umejaa karibu taasisi zote za umma.
 
Halafu ndio tuwekeze huko?!
Wana WAZIMU...
99.9% ya simu za mashirika au taasisi za serikali hazipokekewi au hazifanyi kazi!
Hatuna serikali....
 
UTT-AMIS haina ubaya wowote, mifuko kama UTT iko duniani kote. Suala la simu ni uzembe umejaa karibu taasisi zote za umma.
Ewaa. Na mimi ndiyo hasa wasiwasi wangu. Kama wana uzembe wa kujibu simu kama taasisi zote za umma, huoni kuwa wana elements nyingine zote zinazopatikana kwenye mashirika ya umma? Yaani mimi nilihoji hili hili i.e. karibu taasisi zote za umma zilizoanzishwa zilifeli, hii ina nini speacial ili iaminiwe? Asante sana kwa kuthibitisha kuwa kumbe hata uzembe wa kupokea simu ni walewale.
 
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?

Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi ambayo tunayo hayajibiwi kwa wakati, wakati simu zao wameweka na wameahidi kupokea na kujibu hoja za wateja wao.

Shida haiishii hapo, hata ukija kwenye mitandao yao ya kijamii utaona wanapost zao mpya kila siku lakini ukihoji nini kinaendelea, kwa nini customer care imekuwa chini hakuna anyejibu. Watujulishe wadau kama huduma ya simu haipo tena ili tujue inatulazimu kufika ofisini kwao hata kwa mambo madogo.
Ulienda kufanya nini huko kaka??!!
 
Kuna siku nilihoji kuhusu hawa jamaa hapa nikashambuliwa kweli kweli na watu naodhani ni wapiga debe wao. Na nilihoji kwa nia nzuri tu ya kujua. Uzefu wangu unaniambia kwenye mambo ya fedha ukiona unapotaka kufahamu zaidi au kuhoji mambo na ukashambuliwa sana, basi kaa mbali.
Duh! Mkuu unanishauri nini maana mwezi huu nilitaka niwekeze huko.
😯😯😯
 
Ewaa. Na mimi ndiyo hasa wasiwasi wangu. Kama wana uzembe wa kujibu simu kama taasisi zote za umma, huoni kuwa wana elements nyingine zote zinazopatikana kwenye mashirika ya umma? Yaani mimi nilihoji hili hili i.e. karibu taasisi zote za umma zilizoanzishwa zilifeli, hii ina nini speacial ili iaminiwe? Asante sana kwa kuthibitisha kuwa kumbe hata uzembe wa kupokea simu ni walewale.
Pia mimi wasiwasi wangu upo hapo. Nina kahela kadogo huko ila bado sijahisi kama ni sehemu salama 100% kuweka pesa.

Hii mifuko ipo nchi nyingi hasa zilizoendelea na inafanya vizuri ila kwa nchi hizi zetu za ulimwengu wa tatu ni kukaa ukijua lolote laweza tokea. Japo Pesa yako haiwezi potea ila naamini itafika mda kutakuwa na usumbufu sana kupata stahiki zako.
 
Back
Top Bottom