macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu ushauri wangu ni kuwa ulizia vizuri kwa watu wengi. Ikiwezekana nenda ofisini kwao ukaulizie.Duh! Mkuu unanishauri nini maana mwezi huu nilitaka niwekeze huko.
😯😯😯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushauri wangu ni kuwa ulizia vizuri kwa watu wengi. Ikiwezekana nenda ofisini kwao ukaulizie.Duh! Mkuu unanishauri nini maana mwezi huu nilitaka niwekeze huko.
😯😯😯
Shukran mkuu🤝Mkuu ushauri wangu ni kuwa ulizia vizuri kwa watu wengi. Ikiwezekana nenda ofisini kwao ukaulizie.
UGLY MONEY 🔥🔥🔥UTTAMIS ni kichaka cha wizi serikalini kuficha pesa zao huko. UTT ni genge la wahuni pale kuna watu wana ukwasi wa kutisha.
Na kibaya zaidi Wahuni WOTE tutawakuta PEPONIUTT ni genge la wahuni
Hilo pia limewahi kunifikirisha 😃Ewaa. Na mimi ndiyo hasa wasiwasi wangu. Kama wana uzembe wa kujibu simu kama taasisi zote za umma, huoni kuwa wana elements nyingine zote zinazopatikana kwenye mashirika ya umma? Yaani mimi nilihoji hili hili i.e. karibu taasisi zote za umma zilizoanzishwa zilifeli, hii ina nini speacial ili iaminiwe? Asante sana kwa kuthibitisha kuwa kumbe hata uzembe wa kupokea simu ni walewale.
UTT Amis wamewekeza vigogo ngumu kufa.Hata mifuko ya pension iko nchi nyingi sana duniani na inafanya vizuri ila kwa hii nchi yetu nadhan unaona changamoto wastaafu wanazopitia kupata stahiki zao.
Hii ni kweli na hata ofisini pia huduma ni mbovu. Arusha, pale ngorongoro ukiwakuta wale wadada wawili utatamani kulia, wanakuhudumia wanapotaka wao tena kama vile kwenda kwako pale ni kuwasumbua.Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?
Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi ambayo tunayo hayajibiwi kwa wakati, wakati simu zao wameweka na wameahidi kupokea na kujibu hoja za wateja wao.
Shida haiishii hapo, hata ukija kwenye mitandao yao ya kijamii utaona wanapost zao mpya kila siku lakini ukihoji nini kinaendelea, kwa nini customer care imekuwa chini hakuna anyejibu. Watujulishe wadau kama huduma ya simu haipo tena ili tujue inatulazimu kufika ofisini kwao hata kwa mambo madogo.
Bora wewe una uelewa ,Kuna kitu kinaitwa mutual funds and hedge funds wengi hatujuiUTT-AMIS haina ubaya wowote, mifuko kama UTT iko duniani kote. Suala la simu ni uzembe umejaa karibu taasisi zote za umma.