Huduma kwa wateja ya Air Tanzania siyo nzuri

Huduma kwa wateja ya Air Tanzania siyo nzuri

Kwani lazima mpande hizo ndege mnazodai zina huduma mbovu? Au ndio ile maskini akipata.....kuna mashirika mengi ya ndege,kuendelea kuwalalamikia ATCL ni ushamba kutaka kutuonesha kwamba You Two idiots do travel.
Ulizaliwa njiti?
ATCL ni zao la kodi zetu, tuna haki kukosoa ili isiharibu kodi zetu.

Mteja ni mbia katika usafirishaji hivyo kukodoa ni kuitengeneza kesho bora katika usafiri.
 
😂😂
I second you,
kwenye ofisi zetu za umma, 'customer care' unapaswa uwe nayo wewe mteja ndiyo unapata huduma kiurahisi..!

Hii njia Mimi pia huwa naitumia sana, unaondoka na namba bila kusahau 'keep change' na hiyo ndiyo tayari 'connection' yako...
Ke mjanja hivyo, ungekuwa me ungekuwa hatari...hiyo keep change aah😂😂
 
Tatizo lenu mnaopanda ndege na hamuishi tanzania mnajiona sana. In short mnapenda mpewe attention nyie tuu wengine wakose.
Wewe una exposure ya kuishi nje ya nchi,shaur kwa ustaarabu na si kuwatishia watu kuwa waache kazi
Na wote mtafukuzwa kazi....Nani amesema swala la tunataka attention hapa....Mnapigiwa simu hampokei na mnakata na kuongea kwa dharau so unatakaa tukae kimya??Basi mtupe ticket za bure then mtoe dharau mjinga sana wewe.....
 
Sijawahi panda ndege ila naendaga endaga kwenye ofcni kwao walivyo ni kama wafanyakazi wa halmashauri vile

Wanadharau hawa watu vibaya sanaaa tena sanaaa alafu wanajiona wenyewe ndjo kila kitu....Me nitaenda ofisini nataka niende wanijibu kwa dharau then tuone itakuwaje.....Maana nimeona sana na hili swala Serikali wanafatilia tayari...Alafu mpo humu mnasema hampati wateja sasa hao wateja watakuja vipi wakati mawasiliano 000000
 
Ongeeni na watu vizuri jengeni mahusiano yenye faida mimi swala la kupata tabu sehemu labda kama sina connection napo na hata kama sina ninayemjua najitahidi kuwa mchangamfu tabasamu la kutosha na kuongea vizuri na wahudumu ukiona mtu analalamika kweli kuna matatizo ila ushajua nchi yetu ni ya kuzingatia mambo fulani kwann usijiongeze......
Kaka sasa tutaishi maisha ya connection kwenye swala kama hili huoni kama.ni rushwa hiyo??Why connection??Huoni kama ni mbaya sanaa....Yaani ni book ticket na nilipe hela na nahitaji connection kweli ni sawa??
 
ATCL hawana tofauti na daladala. Kuna mshkaji alikuwa anamsafirisha mkewe na watoto wawili wachanga toka Mwanza kwenda KIA. Asee safari ilikuwa asubuhi saa 12 asubuhi ila yule mama aliteseka na watoto peke yake pale mpaka jioni.

Yani hilo shirika wanatamani huko angani hata kungekuwa na vituo wawe wanaulizia abiria "unaenda"?

Hoves kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka nina hasira ila umenifanya nicheke sana tena sanaaa...Hawapo serious hata kidogo niamini hivyo...
 
Kwani lazima mpande hizo ndege mnazodai zina huduma mbovu? Au ndio ile maskini akipata.....kuna mashirika mengi ya ndege,kuendelea kuwalalamikia ATCL ni ushamba kutaka kutuonesha kwamba You Two idiots do travel.
Huna akili kabisaa wewe na tunajuwa unafanya kazi hapo ndio maana unashabikoa huu upumbavu.....Na endelea kufanya hivyo ila mtabadilika na tutaleta watu wafanye investigation happ bila nyinyi kufahamu na tutatoa evidence piaa subirini tu....Mtu kama wewe huna akili kabisaa hata kidogo....
 
Mkuu kubali tu kuwa wewe ni lofa na maskini wa akili pia hujielewi na hauelewi dunia ilipo.
Hana akili kabisaaa huyu jamaa na hajui shida tunapitia au kupata....Leo simu ngapi wamepokea ofisini kwao??Kwanza ile number yao ya mobile wameweka kwenye website ipo off haipatikani na landline ndio kabisaaa hawapokei.....
 
😂😂
I second you,
kwenye ofisi zetu za umma, 'customer care' unapaswa uwe nayo wewe mteja ndiyo unapata huduma kiurahisi..!

Hii njia Mimi pia huwa naitumia sana, unaondoka na namba bila kusahau 'keep change' na hiyo ndiyo tayari 'connection' yako...
Hiyo rushwa kwa nini nitoe rushwa kwa huduma ambayo nimelipia hivi watanzania mpo dunia gani lakini??Yaani keep change serious??Natoa kwa kupenda na sitaki connection....
 
Ulizaliwa njiti?
ATCL ni zao la kodi zetu, tuna haki kukosoa ili isiharibu kodi zetu.

Mteja ni mbia katika usafirishaji hivyo kukodoa ni kuitengeneza kesho bora katika usafiri.
Hajui na ana akili za kijinga sana...Hajui hata hizo hela za kununua ATCL zinatoka wapi hafahamu kabisaaa hata kidogo....ila wamezoea kuwaendesha watanzania na wanakaaa kimya....Kodi zinalipwaaa na inabidi wafanye kazi inavyotakiwa...Huyu jamaaa mjinga sanaaa
 
Kaa hivyo hivyo mzee, utasubiri sana hii ndio bongoland.
Haya sawa nitatoa rushwa ila nakukamatisha ufukuzwe kazi so nani anakuwa ame loose??Nahitaji huduma na unalipwa mshahara so shida ipo wapi hasa??Hata kama ni bongland mama mnamuweka chini sana.....
 
Hiyo rushwa kwa nini nitoe rushwa kwa huduma ambayo nimelipia hivi watanzania mpo dunia gani lakini??Yaani keep change serious??Natoa kwa kupenda na sitaki connection....
Una matatizo pahala, umeona kuna mahali hapo nimezungumzia suala la rushwa mkuu...??
Keep change kikwenu kumbe ni rushwa..??
then I rest my case Mr..!!🙌
 
Back
Top Bottom