Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi



Kwani nani kakulazimisha utumie ttcl? Tumia wengine ni haki yako, acha kulia lia kama mtoto.
 
Mashirika yetu yamekuwa yakipitia changamoto nyingi sana,unajiuliza serikali imeshindwa kuajiri vijana wachapa kazi kama waliopo sekta binafsi,sasa shirika hapo wanajihujumu au wanahujumiwa?
 
Sijui nyie mnaishi maeneo gani, au devices zenu zina shida gani. Natumia TTCL na sijaona hiyo shida hata mara moja.
 
Si kama nawafanyia promo ila nipo safarini maeneo ya Kihurio (nadhani ni wilaya ya Same), kiukweli jana nimeweza kuangalia full mechi Wolv. V/s Leicester bila shida kupitia TTCL na sasa naperuzi bila shida, nikitaka kununua kifurushi nanunua kupitia T pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…