Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Nasoma Comment nikifurahia speed ya Internet ya TTCL 4G
Screenshot_20190815-220007.jpeg
 
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Mbona Ttcl kwangu iko fresh tafuta simu ya 4G utainjoy
 
bora wewe mi wamenifanyia ukatili hata ajali ya moro haioni ndani, eti wamebania upload alafu wameachia download. nashindwa kuupload video/audio/file lolote kwenye mtandao wowote ila kudownload na mengineyo iko fasta mamaqeee
 
Huyo kila kitu cha serikali kwake hakuna matatizo. Hata ukimwambia RTC hawa-operate siku hizi atakuambia yeye alifanya shopping kwao juzi na wana operate vizuri tu.
Haha punguza chuki na serikali mkuu!
 
Back
Top Bottom