Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Natumia TTCL kama mwaka hivi umepita.

Vifurushi vyao sio vizuri sana na havina options nyingi.

Menu yao mfano tu ya kuangalia Salio la Bundle dah ipo ovyo. Yaani ukitaka kuangalia meseji unaangalia peke yake, ukitaka MB peke yake, dakika peke yake.

Speed ya internet sasa. Ikifika jioni hakuna kitu itasoma LTE ila speed ya 2G.
 
😂😂😂😂 kipi hicho
Walio ajiriwa huko hawakufanya interview au kama walifanya walikosea kuchukua. Badala ya kuchagua top layer walichaguliwa bottom layer.
Ulishafika pale TTCL Nyerere road mkuu? Hebu fika siku moja uombe hata kununua router uone utakavyovunguushwa. Hutaamini kama wanauza. Sasa fika NSSF Ilala. Nadhani NSSF wanaajiri watu wenye IQ ya watoto wa darasa la tatu.
 
Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
Mwenye nchi yake mwenyewe anatumia voda na airtel. Kwa ninj sie tuhangaike na mtandao wa serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini shirika la umma au taasisi za umma zikatoa huduma bora?

TBC

TANESCO

NIDA

SHULE ZA SERIKALI

HOSPITALI ZA SERIKALI

NK

we bado unashangaa tu?
We ndo hujuhi hudama zitolewazo na serikali zilivyo nzuri.
Tuanze na Muhimbili wagonjwa wwkishindikana kwingine upelekwa huko.
Tanesco wape sifa zao huwezi linganisha na wavaa matai wa Tanrod meneja wa mkoa hata chepe Hana. Hawezi Zina hata shimo la barabarani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
Hata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!
 
Wengi wamevaa miwani nzito na kina mama wamevaa mitandio au ma baibui
 
Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
Ni wa hovyo+. Unamaliza bandle wala hakuna kujulishwa kwa sms kama mitandao mingine. Utashangaa unapiga cm haziendi au unatumia intrnet hai-respond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!
Hahahaaaa
Kwa hiyo wazee wafukuzwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom