Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Tangu lini shirika la umma au taasisi za umma zikatoa huduma bora?

TBC

TANESCO

NIDA

SHULE ZA SERIKALI

HOSPITALI ZA SERIKALI

NK

we bado unashangaa tu?
Kweli kabisa ! Cjui tumeshindwa wapi, TBC jana walikuwa wakirusha matangazo ya 1-1 kutoka geita uzinduzi mradi wa umeme mara picha mara sauti yaani ni ovyo! Hii nchi pamoja na mh rais kujitahidi lkn wapi, afike pahara akubari wasomi hawawezi awape std7 nao tuone .
 
Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
Kama sekta zote za umma, wajuwa bado wanafanya kazi kwa mazoea, wanajivuta vuta, akili mgando, bora muda uwende warudi majumbani na uvivu kupita kiasi, magufuli bado kazi anayo...
Pole sana...
 
Hapa nilipo nasoma hii thread kwa network ya TTCL bila wasi wasi, bei kitonga MB 800 Ndani ya siku 5 kwa buku tu
 
Attachments

  • Screenshot_20200105-191601.jpeg
    Screenshot_20200105-191601.jpeg
    42.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200105-191627.jpeg
    Screenshot_20200105-191627.jpeg
    27 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200105-191631.jpeg
    Screenshot_20200105-191631.jpeg
    24.6 KB · Views: 1
Nimetumia mitandao mingi, nimeweka kambi TTCL, hasa internet yao. Kwangu ni the best kwa sasa, pia unafuu wa bundles za net.
 
Kwanza sina budi kutoa pongezi zangu kwa shirika hili la simu jinsi lilivyoingia kwenye soko la mawasiliano na huduma zake za maongezi T-PESA na INTERNET YA KASI KUBWA Kwa Bei nafuu, huku wakiwa na kaulimbiu yao ya RUDI NYUMBANI KUMENOGA, kwa sasa mlipoharibikiwa ni hapa:

1. Kusajili laini zenu kwa fingerprints Dar es salaam mzima, huduma inapatikana Kariakoo na Posta tu.
2. Huduma ya vocha na T-PESA, mawakala hamna, ili update ni lazima upitie AIRTEL MONEY.
3. Ile internet ya 4G mlikuwa mnatupatia, kwa sasa hata ZERO-G haifiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilikua napata vizuri tu, lakini Sasa hivi, internet inapanda na kushuka nipo maeneo ya wilaya ya temeke, temeke yote usajili wa fingerprints hamna ukitaka nilazima uende Posta na kariakoo
Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma

Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mwezi wa 5 nilisajili namba yangu ttcl kwa njia ya vidole kwenye Ofisi yao Mkoani, leo natumiwa sms zimebaki siku 5 za kufunga dirisha la usajili kwa alama za vidole. Ikabidi nihakiki tena kama namba imesajiliwa nakuta haijasajiliwa.
Binafsi nilikua napata vizuri tu, lakini Sasa hivi, internet inapanda na kushuka nipo maeneo ya wilaya ya temeke, temeke yote usajili wa fingerprints hamna ukitaka nilazima uende Posta na kariakoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2020-01-15-19-43-25.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma

Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimesajili Chuo kwa Wakala.
 
wakati mwingine ukituma msg haziendi,mpaka u resend zaidi ya mara tano au zaidi ndo ikubali.
Kwanza sina budi kutoa pongezi zangu kwa shirika hili la simu jinsi lilivyoingia kwenye soko la mawasiliano na huduma zake za maongezi T-PESA na INTERNET YA KASI KUBWA Kwa Bei nafuu, huku wakiwa na kaulimbiu yao ya RUDI NYUMBANI KUMENOGA, kwa sasa mlipoharibikiwa ni hapa:

1. Kusajili laini zenu kwa fingerprints Dar es salaam mzima, huduma inapatikana Kariakoo na Posta tu.
2. Huduma ya vocha na T-PESA, mawakala hamna, ili update ni lazima upitie AIRTEL MONEY.
3. Ile internet ya 4G mlikuwa mnatupatia, kwa sasa hata ZERO-G haifiki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma

Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
TTCL kibaha haupati internet yoyote ile...
 
Back
Top Bottom