Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Voda wapo ghali sana... hao ndo usiwataje kabisaNimevunja line yao..Vodacom ndo kila kitu,tukubali tukatae
Tigo ofa zao zinachagua kati ya mteja na mteja... hovyo kabisa
TTCL wanawapendelea wafanyakazi zaidi wakati (pengine) wanaotumia zaid huo mtandao sio wafanyakazi
Zantel na halotel... tupige magoti tuswali
Me naona tutazunguka wee ila tutarudi pale pale kwenye mtandao wa airtel tu maana ndo wenye angalau
Lakini bado tuendelee kukumbusha na kupiga kelele kwanini bando liexpire? Mitandao ya simu ni wezi!
Sent using Jamii Forums mobile app