Nami nina mashaka sana na hii hospital, gharama zipo juu sana lakini hakuna cha maana. kuna ndugu yangu alikuwa na matatizo ya ujauzito walimyayushayayusha tu hapo, nenda nyumbani rudi, mara sijui wampe kitanda, gharama kibao, lakini shida mtu haiishi mpaka tulipoamua kumuamishia muhimbili na huko alipata nafuu na kujifungua salama.