Huduma Regency hospital afadhali ya manzese/mburahati dispensary.

Huduma Regency hospital afadhali ya manzese/mburahati dispensary.

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
7,063
Reaction score
70
Niko hapa regency hospital..kwa kweli inasikitisha sana.wagonjwa wanalalamika,kauli na lugha mbovu mbovu za wahudum na manesi...upande wa mapokezi na maabara..gharama juu huduma mbovu,,in shot poor custom care urasimu mwingi ni bora hospitali zetu za manzese,mburahati na buguruni...nawasilisha.
 
Nami nina mashaka sana na hii hospital, gharama zipo juu sana lakini hakuna cha maana. kuna ndugu yangu alikuwa na matatizo ya ujauzito walimyayushayayusha tu hapo, nenda nyumbani rudi, mara sijui wampe kitanda, gharama kibao, lakini shida mtu haiishi mpaka tulipoamua kumuamishia muhimbili na huko alipata nafuu na kujifungua salama.
 
Wanajua watu wanawaamini kwa ajili ya jina nao wanatake hiyo kama advtg kwao.
 
Nenda kwa Dkt Ndodi ukaone vibweka zaidi ya hayo. Hapo ukitaka huduma nzuri uwe mwanasiasa maarufu au muhindi tena daraja la kwanza.
 
afadhali hosp yetu ya taifa wanajitahidi huduma sema matatizo madogo madogo ya kiutendaji,hao regency ovyo kabisa,mapokezi na manesi hawajui customer care wako so rude wanafikiri watu wana dhiki sana,mi nishaachaga kwenda pale,ovyo kabisa...
 
Kumbe ndivyo walivyo eenhe? Sisi wa huku kijijini tunaisikiaga tu! Asante sana maana umetupa onyo mapema ili na sisi tukija huko Dar tusiipapatikie hiyo hospitali
 
Kweli ni gharama lakini ni hospitali nzuri
 
Back
Top Bottom