Huduma ya Afya bure kwa mama na mtoto ipo kwenye ilani ya CCM 2020/2025?

Huduma ya Afya bure kwa mama na mtoto ipo kwenye ilani ya CCM 2020/2025?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto.

Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na kama haikuwa ahadi hatuwezi kumuhukumu Chalamila. Labda tupendekeze iwe kwenye ilani za vyama 2025 kupelekea 2030.

Kama ipo kwenye ilani zao basi agenda iwe ni kama inatekelezeka au haitekelezeki.?
 
Back
Top Bottom