Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,055
- 2,466
Wale watu wa vyombo na Live band kwa mji wa Kasulu basi Gronecy ni fire. Ila kwenye chakula hamna kitu majanga order zinachelewa unaagiza chakula unapata ndani ya masaa mawili mpaka matatu. Kama una njaa na unategemea ule vyombo utapata madonda ya tumbo.
Jirekebisheni Restaurant kubwa kama hii na inamilikiwa na jeshi kabisa inafanya mambo ya hovyo.