Si vibaya kufikiri hivyo mkuu, lakini si kweliSijui Kwa nini nimejikuta nawaza jamaa upo kwenye research ya biashara yako mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Si vibaya kufikiri hivyo mkuu, lakini si kweli
Ahsante.
Sent from my SM-A305F using Tapatalk
Mkuu nitakaa hapa kuangalia demand ikoje kama itakuwa imeizidi supply basi nitachukua kama fursa
Sent using Jamii Forums mobile app