Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
Mimi msela bachela niko ndani njaa inaniuma na hakuna sehemu nzuri ya kula karibu na home.Ni nani anatoa huduma ya delivery ya chakula kizuri cha asili kama ugali, wali, ndizi, nyama ya ngombe, kuku, bata, juice ya matunda na kadhalika
Najua kuna wenzangu kama mimi wenye same issue, tukipeana tips itakua imekaa vizuri
Niko Mwananchi, Tabata, Dar es Salaam
Salaam.
Najua kuna wenzangu kama mimi wenye same issue, tukipeana tips itakua imekaa vizuri
Niko Mwananchi, Tabata, Dar es Salaam
Salaam.