Huduma ya Delivery ya Chakula

Huduma ya Delivery ya Chakula

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,636
Reaction score
6,178
Mimi msela bachela niko ndani njaa inaniuma na hakuna sehemu nzuri ya kula karibu na home.Ni nani anatoa huduma ya delivery ya chakula kizuri cha asili kama ugali, wali, ndizi, nyama ya ngombe, kuku, bata, juice ya matunda na kadhalika

Najua kuna wenzangu kama mimi wenye same issue, tukipeana tips itakua imekaa vizuri

Niko Mwananchi, Tabata, Dar es Salaam

Salaam.
 
Hii save ya jf inavumilia mengi kwakweli, ipo siku mtu atakuja na uzi wa kuomba tumchagulie hata boksa ya kuvaa
 
Sijui Kwa nini nimejikuta nawaza jamaa upo kwenye research ya biashara yako mpya.
 
Hii save ya jf inavumilia mengi kwakweli, ipo siku mtu atakuja na uzi wa kuomba tumchagulie hata boksa ya kuvaa
Kwa kua sio ya kwako, hakuna namna mkuu, vumilia tu.

Ahsante.

Sent from my SM-A305F using Tapatalk
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli maana Sasa inakua ni too much.
 
Ndio kazi ya mitandao mkuu. Kama hatuwezi solve day to day issues kuna haja gani ya kua kwenye mitandao kama hii. Tuvumiliane tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli maana Sasa inakua ni too much.
 
Back
Top Bottom