kwanza this is very INSENSITIVE. I feel sorry for who ever will be impregnated by you. unafanana na wanaume wanaosema wanawake wameumbiwa kuvumilia kwasababu wanazaa kwa uchungu. wakatili sana nyie.
kuna wamama walisema wataenda natural, labor ilipoanza epidural iliagizwa fasta.
ANYWAYS
kwanza epidural haiingizwi kwenye uti wa mgongo. kuna space inayozunguka uti ndo dawa inamwagwa humo.
risk ya kuharibu uti ni ndogo sana. zaidi ya nusu ya wamama wanaojifungua marekani wanajifungua na epidural. wanagapi wamepata madhara kama paralysis?
utaparalyse kama
-dokta akikuchoma ndani hadi kwenye uti, kitu ambacho SIO kawaida, na ni kitu Mtu anasikia fasta (kama shoti ya umeme) so sindano itatolewa haraka na hakuna uwezekano wa "permanent" paralysis
-AU sindano ilichoma mishipa ya damu (kitu cha kawaida) , sema Mtu ana matatizo ya kushindwa kugandisha damu (blood clotting) so ataendelea kubleed , na usipotibiwa fasta unaweza kuharibu uti. Ndomaana kuna watu hawaruhusiwi kutumia epidural.
kwangu naona risk ni ndogo sana. nikishapewa go ahead ya kutumia epidural ni kumjua tu daktari wa ganzi Kama ni experienced.
of course mama anapaswa kuresearch mwenyewe apime risks mwenyewe.