Huduma ya Epidural Kwa wanawake wanaojifungua inapatikana Tanzania?

we nakwambia subiri ifike huku usikie maneno.

"sijazaa na ganzi mie"

"mwanamke wa shoka yule, hamna cha ganzi wala nini"

nishajikubalia sina ushoka wala upanga wowote. mie kiwembe kabisa. period yenyewe inaniweka bed rest. hah! nature is so cruel.
Acha tu ....
Kuna watu wanaona siiifa na kudharau wa op

Yaani basi tu hapa bongo hamna ila ingekuwepo mie ningekuwa mteja wao mkubwa...

Mbwembwe za kavu kavu sitaki

Tena unakuta kuzaa kavu halafu na kushonwa juu.....hapana aisee
 
. Siamini wala kukubali mtu acheze Na Uti WA mgongo. Umebeba 9 months si umalize naturally......
kwanza this is very INSENSITIVE. I feel sorry for who ever will be impregnated by you. unafanana na wanaume wanaosema wanawake wameumbiwa kuvumilia kwasababu wanazaa kwa uchungu. wakatili sana nyie.

kuna wamama walisema wataenda natural, labor ilipoanza epidural iliagizwa fasta.

ANYWAYS
Siamini wala kukubali mtu acheze Na Uti WA mgongo. .
kwanza epidural haiingizwi kwenye uti wa mgongo. kuna space inayozunguka uti ndo dawa inamwagwa humo.

risk ya kuharibu uti ni ndogo sana. zaidi ya nusu ya wamama wanaojifungua marekani wanajifungua na epidural. wanagapi wamepata madhara kama paralysis?

utaparalyse kama

-dokta akikuchoma ndani hadi kwenye uti, kitu ambacho SIO kawaida, na ni kitu Mtu anasikia fasta (kama shoti ya umeme) so sindano itatolewa haraka na hakuna uwezekano wa "permanent" paralysis

-AU sindano ilichoma mishipa ya damu (kitu cha kawaida) , sema Mtu ana matatizo ya kushindwa kugandisha damu (blood clotting) so ataendelea kubleed , na usipotibiwa fasta unaweza kuharibu uti. Ndomaana kuna watu hawaruhusiwi kutumia epidural.

kwangu naona risk ni ndogo sana. nikishapewa go ahead ya kutumia epidural ni kumjua tu daktari wa ganzi Kama ni experienced.

of course mama anapaswa kuresearch mwenyewe apime risks mwenyewe.
 
Ule usemi wa

"Uchungu wa mwana..........."

Hautakuhusu tena ukijifungua kwa njia hiyo
kwanini unadharau miezi Tisa yote aliyotunzwa tumboni?? uliwahi kumtunza mja mzito ukaona shida zake? kuna watu mimba zinawatesa mno.
 
Kama ndio Tafsiri ya hayo maneno ndio hivyo ulivyofafafanua aisee acha uwe "Housegirl" tu kwa maana hakuna namna tena
katafsiri kuzaa kwa uchungu literally. kwanini utafsiri kula kwa jasho kama "fumbo"?

anyways hii thread ya kitabibu, kaanzisheni yenu ya imani muambizane.
 
Acha tu ....
Kuna watu wanaona siiifa na kudharau wa op

Yaani basi tu hapa bongo hamna ila ingekuwepo mie ningekuwa mteja wao mkubwa...

Mbwembwe za kavu kavu sitaki

Tena unakuta kuzaa kavu halafu na kushonwa juu.....hapana aisee
wale wanaochanika hadi uani ni huruma sana.

kuna wanaopata bawasili (hemorrhoids)

kuna fistula.

wengine wanahangaika siku kibao mwishowe dokita anaamua ampasue.

huh labor siku 3, 4!!!
 
kwanza this is very INSENSITIVE. I feel sorry for who ever will be impregnated by you. unafanana na wanaume wanaosema wanawake wameumbiwa kuvumilia kwasababu wanazaa kwa uchungu. wakatili sana nyie.

kuna wamama walisema wataenda natural, labor ilipoanza epidural iliagizwa fasta.

ANYWAYS

kwanza epidural haiingizwi kwenye uti wa mgongo. kuna space inayozunguka uti ndo dawa inamwagwa humo.

risk ya kuharibu uti ni ndogo sana. zaidi ya nusu ya wamama wanaojifungua marekani wanajifungua na epidural. wanagapi wamepata madhara kama paralysis?

utaparalyse kama

-dokta akikuchoma ndani hadi kwenye uti, kitu ambacho SIO kawaida, na ni kitu Mtu anasikia fasta (kama shoti ya umeme) so sindano itatolewa haraka na hakuna uwezekano wa "permanent" paralysis

-AU sindano ilichoma mishipa ya damu (kitu cha kawaida) , sema Mtu ana matatizo ya kushindwa kugandisha damu (blood clotting) so ataendelea kubleed , na usipotibiwa fasta unaweza kuharibu uti. Ndomaana kuna watu hawaruhusiwi kutumia epidural.

kwangu naona risk ni ndogo sana. nikishapewa go ahead ya kutumia epidural ni kumjua tu daktari wa ganzi Kama ni experienced.

of course mama anapaswa kuresearch mwenyewe apime risks mwenyewe.
You are now theorising madame. Nina watoto mamito na kitu ninachokueleza nina uhakika nacho. Nyie mliosoma mnasumbua. Mwanaume akijaribu kureason nawe kawaida mnapinda tu na kutuita majina kama wewe unavyoonekana. Mwisho uzeeni mnatulilia na kutuita majina kuwa hatuwajali. Hivi unaamini vipi hospitali za Bongo kwa vitu sensitive kama hivyo? Wake-up kwa nini akinamama mnakubali kufanyiwa majaribio? Angali matako ya wema etc. One has to be natural, je wewe mama yako alitumia hayo makitu wakati wa kujifungua? Vingine si vya kuiga mama. Achana na vijineno uchwara ati INSENSITIVE etc. Hayo yote ni majungu ya kwenye saluni. Kama hutaki kuzaa kwa nini usitumie angalau surrogate mother angalau kuliko kujiletea mateso uzeeni?
 
you dont sound like a matured man either so I feel sorry for your kids also. Wema really?? sidhani hata kama mdogo wangu wa kiume anafuatilia hayo mambo.

kwahiyo kama mama yangu hakujifungua na epidural inanihusu nini?? kama alikuwa kakeketwa ningekeketwa kisa mama kakeketwa??

una uhakika na nini sasa, ulishika mimba miezi Tisa ukaenda kuzaa?? probably hata kwenye delivery room hukuwepo, unaongea simpo tu.

hakuna procedure yoyote duniani iliyoanza bila majaribio. and BTW epidural is such a common procedure in other countries.

kuogopa madaktari wa huku lazima tuogope. madokta wanapiga viroba ofisini kwanini tusiogope.
 
Bado unathibitisha kuwa wewe umepinda. Mimi sijazungumza ila nimeandika tu. Acha kutukana keyboard. Ukikua ndipo utathamini wosia wangu. Narudia nyie wake zet mliosoma mnatukwaza sana kutopokea ushauri wetu. Acha povu angalia reality ona wanawake wanavyoharibu nyuso zao kwa majaribio!
 
Epidural anaesthesia ni ganzi unapewa kupitia uti wa mgongo, kuanzia labor hadi utapojifungua. Unakuwa Husikii maumivu ya tumbo wala wakati kusukuma.

Doctors, huduma hii inapatikana huku?
Nenda pale Aghakhan hospital dsm utapata huduma iyo.
 
wale wanaochanika hadi uani ni huruma sana.

kuna wanaopata bawasili (hemorrhoids)

kuna fistula.

wengine wanahangaika siku kibao mwishowe dokita anaamua ampasue.

huh labor siku 3, 4!!!

Agakhan hospital wanayo naskia.

Kwa kweli hizo hadithi za epidural ni mbaya sijui utaumwa mgongo nadhani uoga wa watu tu. mimi nimejifungua na epidural 7 years ago na siumwi mgongo wala uti wa mgongo niko fit sana. ile kitu ni nzuri yaani husikii maumivu ya aina yoyote, sana sana wao wanaona maumivu kwenye mashine yao ile ndo wanakwambia push push unapush..Mungu nipe hela mie nikajifungulie mtoto wa pili duniani loh
 
haha

asante kwa ushuhuda.

nimesoma soma experiences za watu online. common side effect (statistics zinasema ni kwa 1% tu) ni kichwa kuuma. ambayo kuna namna wanatreat kutumia damu yako.

ya kuumwa mgongo siku/week kadhaa baada ya kujifungua nayo nimeona kwa wachache. ukiangalia wengi wanaotoa negative experiences walifanyiwa zamani, early 2000s.

sahivi content ya epidural imeboreshwa, haicheleweshi labor, na haikati hisia zote, maumivu Husikii lakini kupush unasikia.

ushuhuda mwingi ni positive kwakweli.

naelewa mtu akifocus kwenye negatives tu. ndo akili zetu binadamu zilivyo. mambo mabaya yanapewa ukubwa usiostahili.

ni kama Mtu aseme atafanyiwa operation sababu anaogopa atapata fistula. wangapi wanapata fistula?

kwanza ukiSearch fistula sahivi utaona manamba makubwa kweli. kwa epidural hadi uchimbe hasaa..
 
Back
Top Bottom