Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo nenda hosp hizi:Habari wapendwa. Tafadhali naomba kujua kama huduma ya IVF inawezekana hapa Tanzania na Doctor ambae anafanya. Pia naomba kujua gharama zake. Naombeni msaada wakuu.
Duu! Kumbe Bongo ni ghali. India niliona $4000-5000 na unaweza chagua jinsia na hata mapacha.Andaa pesa isiyopungua 30 million, kwasababu kuna vipimo na madawa mengi ya gharama kabla hujafikia ivf, na pengine unaweza ukashauriwa njia nyingine tofauti na ivf ie IUI
Haipishani sana mkuu hata kwa bongo hiyo procedure inaweza kuwa ni $6000_8000 ila sasa mpaka ukafikie ivf hapo Kati kuna mambo mengi, vipimo vya hormones, madawa, procedure za kuangalia kizaz and so. Vyote ni hela.Duu! Kumbe Bongo ni ghali. India niliona $4000-5000 na unaweza chagua jinsia na hata mapacha.