Huduma ya IVF Tanzania

Huduma ya IVF Tanzania

Nairart

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
22
Reaction score
36
Habari wapendwa. Tafadhali naomba kujua kama huduma ya IVF inawezekana hapa Tanzania na Doctor ambae anafanya. Pia naomba kujua gharama zake. Naombeni msaada wakuu.
 
Kibongo bado sijapata sikia hiyo technology inafanyika maana ni very cost sana.
 
Habari wapendwa. Tafadhali naomba kujua kama huduma ya IVF inawezekana hapa Tanzania na Doctor ambae anafanya. Pia naomba kujua gharama zake. Naombeni msaada wakuu.
Zipo nenda hosp hizi:

1. Salis hosp masaki
2. Cradle specilaity centre pia masaki

Kuna watu wamefanikiwa ila gharama ndio hatujui.
 
Andaa pesa isiyopungua 30 million, kwasababu kuna vipimo na madawa mengi ya gharama kabla hujafikia ivf, na pengine unaweza ukashauriwa njia nyingine tofauti na ivf ie IUI
 
Andaa pesa isiyopungua 30 million, kwasababu kuna vipimo na madawa mengi ya gharama kabla hujafikia ivf, na pengine unaweza ukashauriwa njia nyingine tofauti na ivf ie IUI
Duu! Kumbe Bongo ni ghali. India niliona $4000-5000 na unaweza chagua jinsia na hata mapacha.
 
Duu! Kumbe Bongo ni ghali. India niliona $4000-5000 na unaweza chagua jinsia na hata mapacha.
Haipishani sana mkuu hata kwa bongo hiyo procedure inaweza kuwa ni $6000_8000 ila sasa mpaka ukafikie ivf hapo Kati kuna mambo mengi, vipimo vya hormones, madawa, procedure za kuangalia kizaz and so. Vyote ni hela.
 
Back
Top Bottom