DOKEZO Huduma ya Kujifungua imekuwa gharama sana katika Hospitali ya Wilaya Ubungo

DOKEZO Huduma ya Kujifungua imekuwa gharama sana katika Hospitali ya Wilaya Ubungo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hapana bro sijatazama kipato binafsi maana nami najitafuta ila ishu ya ujauzito ipo complicated anaweza kuambiwa akapumzike chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari mimba ikiwa ndio kwanza miezi mitatu itakuaje
Ndio kuna haja serikali iweke bei kutokana na maisha ya walio wengi.. kwa kaya nyingi zile ambazo mtu kioato ni elfu 10 kwa siku, tena hapo kuna siku anakosa anakopa kwa mangi unga na dagaa, hana uwezo hata wa kuwa na akiba ya elfu 20, ni changamoto kubwa mnoo
 
Watu hamjamuelewa mleta mada
Serikali wanadanganya wananchi kua huduma ya kujifungua, mama na mtoto ni bure kitu ambacho SIO KWELI
Bora waweke kila kitu wazi kua huduma sio bure ijulikane moja!

Kwanini ionekane bure wakati wazazi wanalipishwa?
Nawe umeelewa tofauti ametaja bei za awali na za saivi
 
Ndio kuna haja serikali iweke bei kutokana na maisha ya walio wengi.. kwa kaya nyingi zile ambazo mtu kioato ni elfu 10 kwa siku, tena hapo kuna siku anakosa anakopa kwa mangi unga na dagaa, hana uwezo hata wa kuwa na akiba ya elfu 20, ni changamoto kubwa mnoo
Pamoja na hayo tukishaamua kuwa na familia ni ishu serious maana waweza lipa kiasi kidogo wakati wa kujifungua ila mtoto chini ya miaka mitano anatakiwa uangalizi wa karibu sana hivyo maandalizi ni muhimu
 
Hapo mkuu unatizama kwa mtazamo wa kipato chako, lakin sio watanzania walio wengi, wengi hiyo laki 2 ni kipengele kikubwa mkuu
Kama laki 2 ndani ya miezi tisa kuipata ni changamoto basi ni heri usilete mtoto duniani maana utashindwa kumhudumia na hata akiumwa atateseka bure.
 
Kama laki 2 ndani ya miezi tisa kuipata ni changamoto basi ni heri usilete mtoto duniani maana utashindwa kumhudumia na hata akiumwa atateseka bure.
Shukuru hali uliyokuwa nayo.. kuna watu mtoto ni ndoto zao, wanatamani kupata mtoto kwa hicho hicho kidogo chao.
Leo ukamwambia asizae, kisa umaskini wake, atakupiga bisu la jicho.
 
Kama laki 2 ndani ya miezi tisa kuipata ni changamoto basi ni heri usilete mtoto duniani maana utashindwa kumhudumia na hata akiumwa atateseka bure.
Tembea uone, we unazungumzia laki 2 kwa miezi 9, kuna watu mwaka mzima hawezi ichanga changa akaifikisha hiyo laki 2.
 
Ndio maana una akili finyu.
Akili finyu unayo wewe.

Reply yangu hujaielewa umekurupuka tuu.
Mimi nimejibu kama mtu wa kawaida mtaani avyoweza kujibu.
Ulitakiwa unijibu kama mtu mwenye akili timamu, ukashindwa
Nimekupa nafasi ya pili ujibu vizuri umeshindwa.
Itoshe kusema wewe ndio una akili finyu au una tatizo la kisaikolojia au una shida katika mbinu za mawasiliano na watu.
 
We ni fala.
 
Back
Top Bottom