Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

Jaman Mume ninae na hana tatizo ...tatizo mirija yangu ya uzazi imeharibika haiwez kupitisha mbegu
pole sana dada. kwa tanzania nina mashaka sana na hizo huduma za kupandikiza, ni nje ya nchi tu dada yangu. Ila jaribu kuulizia sana nimewahi kusikia private clinic moja hivi
 
Ukishindwa Tanzania nenda Nairobi hospital wanafanya hiyo kitu. Pole shemela na kaka yetu pia.Ikishindikana kabisa mruhusu kaka yetu apige mimba nje mpate watoto.
 
Niliwahi kuambiwa na Doctor mmoja pale rabinisia hospital kuwa hii huduma hapa bongo haipo na gharama yake Sio chini 15M.
 
Mpendwa, nenda website ya hospitali ya muhimbili, tafuta namba ya maulizo, utapata msaada wa kutosha na maelekezo yalio sahihi.
 
Ukishindwa Tanzania nenda Nairobi hospital wanafanya hiyo kitu. Pole shemela na kaka yetu pia.Ikishindikana kabisa mruhusu kaka yetu apige mimba nje mpate watoto.
Kwani wameshafungua mipaka?

Je ndege za abiria zimeanza kwenda na kutoka Nairobi?
 
Back
Top Bottom