Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Mke au ndugu.kufungwa sio kunyimwa haki za msingiUtakua unawalewa wewe ao watoto ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke au ndugu.kufungwa sio kunyimwa haki za msingiUtakua unawalewa wewe ao watoto ndugu
0713 596 346 Dr Nicholous, unaweza mpigia, ukasikia pia gharama zao, naamini utaweza ku afford, wakati unasikilizia MuhimbiliNitashukuru ..nimetaja muhimbili sababu gharama zao walitangaza kuanzia 2m mpaka 10m nikaona nitaweza kuafford
0713 596 346 Dr NicholousHuwezi kuziweka hapa mkuu?
Brother mnaweza mkafanya masikhara, lakini Mambo ya uzazi yana complication Sana, Kama unaona unawapa tu mimba kirahisi Basi ni Jambo la kushukuru Mungu.hatajibu yupo Muhimbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli kabsaBrother mnaweza mkafanya masikhara, lakini Mambo ya uzazi yana complication Sana, Kama unaona unawapa tu mimba kirahisi Basi ni Jambo la kushukuru Mungu.
Acha wenye hizi shida wapate msaada kwa njia nyingine, Kuna process ili mimba iwezwe kutungwa, so inapo tokea shida kwenye mfumo ndio hapo Ina Anza changamoto ni kuwapa moyo na kuwaombea mafanikio,
Kwa kairuki ni kati ya tsh 5m na 4m ikitegemea hali halisi yakoHow much?
Hivi mfano mwanamke akapima yupo safi....tatizo ikawa kwa mwanaume kwamba mbegu hazipo na wanafanyeje na gharama shs ngap????
Kuna wengine n zero sperm. Inakuaje?Kwa upande wa mwanaume inategemea na aina ya tatizo ulikokutwa nalo, mfano ukikutwa labda una mbegu dhaifu watakupa dawa na kukushauri kula aina fulani za vyakula kwa kipindi fulani ili kufanya mbegu ziwe na nguvu.
ila kama zimekufa sijui ngoja wajuzi zaidi watiririke.
Ni mjadala was siku nyingi,lakini kama upon hai wewe ni mpumbavuUmekurupuka unajua namaanisha nini?
Nenda Nairobi hospital huko Kenya ukiwa na milioni 5 hadi 7Wapendwa poleni na majukumu.
Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.
Naomben kufahamu.
Inafanyika mwanza hospital kwa muhimbili sijuiWapendwa poleni na majukumu.
Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.
Naomben kufahamu.
IVFUnaitaji huduma ipi yani mbona ujaweka wazi? Kupandikizwa wewe mwenyewe ama surrogacy?
Nenda mwanza hospital kwa dr. Kilonzo hakika atakusaidia sana. Njoo inbox kwa maelezo zaidiJaman mume ninae na imeshindikana kwa njia ya kawaida sababu mirija yangu ya uzazi imeharibika
Sitaki!Nenda mwanza hospital kwa dr. Kilonzo hakika atakusaidia sana. Njoo inbox kwa maelezo zaidi
Muhimbili walikua na mpango huo ila bado bado.but kuna dar ivf na maka ivf na avintacare wanafanya ivf.Wapendwa poleni na majukumu.
Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.
Naomben kufahamu.