Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
- Thread starter
-
- #61
Nitashukuru ..nimetaja muhimbili sababu gharama zao walitangaza kuanzia 2m mpaka 10m nikaona nitaweza kuaffordLady in action, ni lazima iwe Muhimbili?,nafahamu Kuna hospitali ipo Arusha,Ina itwa Avinta Care, wapo Poa,pia gharama zipo poa, Kama utahitaji nitakupatia no
Uko n Dar IVF n nouma kumuona doctor tu n 230,000/=Hivi Dar IVF bado ipo???? Au imehamia pale Sali Hospital baada ya kuchukua lile jengo???? Though success rate yake sijui ikoje
Best option nenda SA... kule wana clinic nyingi na wapo professional sio wababaishaji...
Acha mambo ya Ulaya mimba zinatungishwa bureee kwa dushe tu
Mwambie, tambua ipo siku mtoto atakuuliza baba ake yupo wap utamwambiaje? Baba ako anaitwa muhimbili ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli.Hayajakukuta lakini uzazi wako ungalipo!!
[emoji87][emoji87]Nitashukuru ..nimetaja muhimbili sababu gharama zao walitangaza kuanzia 2m mpaka 10m nikaona nitaweza kuafford
Wewe unataka kula tunda tu kimasihara kwa kumdanganya kuwa utampa mimba et mbegu zako ni Kali sana zitapenya[emoji28][emoji28]Mtoa mada tuwaailiane tafadhari
Nina namna flani ya kukusaidia
Mbona hapa Arusha kuna clinic moja wanafanya tuu sema ni aghali kidogoWapendwa poleni na majukumu.
Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.
Naomben kufahamu.
Kuna daktari bingwa alishomeshwa nje na hisoitali ya kcmc aliporudi ilikuwa yeye ndo aanzishe Huduma hiyo pale Kcmc sijui walikosana nn na mgt hivyo akaja Arusha na kufungua kituo chake na anafanya Kila kitu kuhusiana na hitaji lako kama VP njoo pm tujadili jinsi ya kukuunganisha naoWapendwa poleni na majukumu.
Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.
Naomben kufahamu.
Cheki na KCMC Moshi wantoa hiyo huduma ,ila iko very occupied.Acheni kukatisha tamaa watu wewe kama umebarikiwa mtoto shukuru Mungu.Nilikutana na specialist wa urology pale muhimbili akaniambia bado hawajaanza hio huduma.
DalaliKuna daktari bingwa alishomeshwa nje na hisoitali ya kcmc aliporudi ilikuwa yeye ndo aanzishe Huduma hiyo pale Kcmc sijui walikosana nn na mgt hivyo akaja Arusha na kufungua kituo chake na anafanya Kila kitu kuhusiana na hitaji lako kama VP njoo pm tujadili jinsi ya kukuunganisha nao
Mm siyo Dalali ila Kuna mtu nilimpeleka hapo alitokea mkoa wa jiraniDalali