Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

Ni hatari sana kumfuata mwanamke kwake.
Siku moja utagundua ukweli wa comment yangu.
Usemayo ni kweli chief ila sio kila massage inahusisha sex au kunjunjuana. Watu wengi wakisikia massage basi mawazo yanaenda huko moja kwa moja.
 
Hapana mkuu, hamna masaji ya mjegejo hata moja hapo. Kwa nini watu wakisikia masaji they all think about sex sex sex!!! 🙄

Sababu kitendo cha kuchua misuli ya mtu ni kuwa unalegeza sehemu zote za mwili zilizokaza ikiwa ni pamoja na maungo ya siri na wakati misuli ikichuliwa kuna mishipa ya fahamu inapitisha damu kwa wingi na hivyo kupelekea hisia kuamka. Kama ni mwanaume utaona uume umeinuka na kwa mwanamke uke unalowalowa, hata kama zoezi litaishia hapo lakini mwili unakuwa umeshahama kutoka kwenye hali ya kawaida kwenda kwenye hali ya utayari wa kuingilia uke au kuingiliwa na uume.

Hii ndio sababu watu wengi humu wanakutahadharisha kuwa usijeukapata mteja ambae ni nje wa mtu akazidiwa na mihemko ya hisia baada ya kukandwa misuli akakutega umuingilie kimwili.

Hatari iliyopo mnaweza mkaanza mahusiano ya mapenzi na hatari ya kukamatwa ni fedheha kubwa maishani.

Nakutakia kazi njema katika kujituma kwako. Ila unbreakable bei hapa walau baadhi ya waume wangekubuku uje uwafanyie wake zao na wao wakishuhudia nabaada ya tukio unaondoka na mume anashughulika na hisia za mkewe.

Ungewaza mapema msimu huu ungetafuta Banda sabasaba kisha ukawa unafanya massage live hapo, ungepata base ya wateja ambao ungekuwa unawafata popote wanapokuelekeza.

Bibi K.
 
Wa kwangu namfanyiaga mwenyewe. Na nimesomea kabisa kozi ya miezi sita. Humpati ng'o !!![emoji16][emoji16][emoji16]


Aahahahahhaaa hujakutana na watu watakwambia, hiyo ni sawa na bia za kunywea nyumbani sio tamu hata chipsi yai za kukaanga nyumbani na mafuta ya olive oil si tamu kama chips vumbi na kachumari na chachandu.

Hongera kwa mpenda, kumjali na kumlinda wakwako.

Kasinde.
 
Hapana mkuu, hamna masaji ya mjegejo hata moja hapo. Kwa nini watu wakisikia masaji they all think about sex sex sex!!! 🙄
Kwakuwa sehemu nyingi za masaji ukienda baada ya kufanyiwa masaji unaulizwa kama unataka huduma ya ziada,ukiuliza huduma zipi za ziada ambazo mnatoa ukiacha hii? wanasema kwamba Kuna kutuma Salamu,Kukwea Mnazi na Kuwezana!
 
Back
Top Bottom