Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Utakuja kuliwa shauri yakoNi kwa ajili ya wanawake tuu au hata sisi vidume
Sent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja kuliwa shauri yakoNi kwa ajili ya wanawake tuu au hata sisi vidume
Sent
NakusubiriaHii fursa siyo ya kukosa, nakuja chap
Basi ukuje unifanyie boss
Tulia we zamu yako keshoNitakufanyizia mimi [emoji39][emoji39][emoji39]
Mzee fursa yangu hii mbona unataka kuninyang'anya tonge mdomoniNitakufanyizia mimi [emoji39][emoji39][emoji39]
Aisee ntawezana tuu mkuuHaihitaji kila siku, labda Mjep asiwezane!
Mzee fursa yangu hii mbona unataka kuninyang'anya tonge mdomoni
Kwambaaaa????Body to body ndio inakuwaje?
Hujambo?Kwambaaaa????
Me mzima habari za wapi?? Mambo yanakwenda???Hujambo?
Asante kwa ushauri Bibi K.Sababu kitendo cha kuchua misuli ya mtu ni kuwa unalegeza sehemu zote za mwili zilizokaza ikiwa ni pamoja na maungo ya siri na wakati misuli ikichuliwa kuna mishipa ya fahamu inapitisha damu kwa wingi na hivyo kupelekea hisia kuamka. Kama ni mwanaume utaona uume umeinuka na kwa mwanamke uke unalowalowa, hata kama zoezi litaishia hapo lakini mwili unakuwa umeshahama kutoka kwenye hali ya kawaida kwenda kwenye hali ya utayari wa kuingilia uke au kuingiliwa na uume.
Hii ndio sababu watu wengi humu wanakutahadharisha kuwa usijeukapata mteja ambae ni nje wa mtu akazidiwa na mihemko ya hisia baada ya kukandwa misuli akakutega umuingilie kimwili.
Hatari iliyopo mnaweza mkaanza mahusiano ya mapenzi na hatari ya kukamatwa ni fedheha kubwa maishani.
Nakutakia kazi njema katika kujituma kwako. Ila unbreakable bei hapa walau baadhi ya waume wangekubuku uje uwafanyie wake zao na wao wakishuhudia nabaada ya tukio unaondoka na mume anashughulika na hisia za mkewe.
Ungewaza mapema msimu huu ungetafuta Banda sabasaba kisha ukawa unafanya massage live hapo, ungepata base ya wateja ambao ungekuwa unawafata popote wanapokuelekeza.
Bibi K.
Pamoja mkuu.Mwanakulitafuta, Mwanakulipata,
Angalizo;
Kuna Corona,
Kuna Homa ya Ini,
Kuna HIV,
Kuna Magonjwa ya zinaa,
Kuna Kuliwa kiboga,
Be Careful.
Nimekuelewa mkuu Savimbi. Ila sio client yupo interested na hizo huduma za ziada hao unaoongelea mara nyingi huwa hawajakunwa siku nyingi au hakunwi vizuri sasa ndio ikitokea kama hivo kaenda kwenye massage ile kuhudumiwa zikipanda anashindwa kujizuia anaomba poo wanamalizana.Kwakuwa sehemu nyingi za masaji ukienda baada ya kufanyiwa masaji unaulizwa kama unataka huduma ya ziada,ukiuliza huduma zipi za ziada ambazo mnatoa ukiacha hii? wanasema kwamba Kuna kutuma Salamu,Kukwea Mnazi na Kuwezana!
Noted Chief.I swear before God,if you're caught doing this bla bla am telling you wanna suffocate,,,, yaani fanya kwingine ila ukibahatishwa ukakutwa na MWANAUME anayejitambua utaacha hii kazi bila kupenda, hata wewe jihadhari siku ukianza kusikia una upungufu wa nguvu za kiume usihangaike kutafuta vumbi la kongo,,, miongoni mwa sababu za wanaume wengi leo kuwa na Matatizo ya nguvu za kiume ni kuona uchi wa mwanamke mara kwa mara, just imagine wewe utakuwa umefikia kiwango gani? Kisaikolojia madhara yake ni makubwa mno ndio maana leo wanaume hawaoni sababu ya kuoa kwani wanashinda kila siku wanaangalia nyeti za wanawake kama muvi ya isidingo ,,,,,
Chukua tahadhari, unakufa taratibu kwenye sekta hiyo bila kujijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Palepale nilipokuwepo tangu wakati ule mambo yanakwenda yenyewe sijaanza kuyaendeshaMe mzima habari za wapi?? Mambo yanakwenda???
Unakwamaje sasa???Palepale nilipokuwepo tangu wakati ule mambo yanakwenda yenyewe sijaanza kuyaendesha
Safari nyingine nitafanya hivyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ulitakiwa ufikirie hilo kabla hujamquote. Samahani kwa kudandia treni kwa mbele