Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kaka wanabaraka zote kutoka serikalini tulia tuTangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.
Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.
Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
Wanazingua sana aisee!!. Hapa kweli wana tu mix maana nimetuma hela mara kadhaa wanakata harafu nakozituma hazifiki na namba yao ya huduma kwa wateja haina msaada wowote hadi sasa.Aisee...! Mpaka dakika hii bado sipati huduma. Huu mtandao sasa wanapoelekea si kuzuri