Huduma ya Mixx by Yas (zamani tigo pesa) haipo hewani

Huduma ya Mixx by Yas (zamani tigo pesa) haipo hewani

Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.

Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.

Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
Kaka wanabaraka zote kutoka serikalini tulia tu
 
Wamenikera sana leo yaani. Bora wangetupa hata taarifa mapema. Hapa mambo yangu ya faster yamekwama kwa sababu ya kukosekana kwa huduma yao.
Itawachukua sana muda kuwafikia M pesa kwenye suala la Mobile Money services.
 
Aisee...! Mpaka dakika hii bado sipati huduma. Huu mtandao sasa wanapoelekea si kuzuri
Wanazingua sana aisee!!. Hapa kweli wana tu mix maana nimetuma hela mara kadhaa wanakata harafu nakozituma hazifiki na namba yao ya huduma kwa wateja haina msaada wowote hadi sasa.
 
Back
Top Bottom