Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

πŸ˜…πŸ˜‚ Mkuu nimeona mabadiriko, sasa ole wako nisipande hilo daraja la mfugale, nitakufungulia kesi ya kunitia matumaini hewa... ILA COMMENT YAKO INAFARIJI
 

Nimeona kwa mke wangu zimebadilika pale kwenye vote nr mshahara wa April na May zile nr tofauti
 
Dah,Mkuu natamani hii hoja yako iwe kweli aisee
 
JF bhana! Ina wataaluma wengi kweli.
Salary slip huwa taarifa hizi: (kuanzia kulia kwenda kushoto) usajili wa mwajiri, usajili wa idara, check namba, jina la mwajiri na ngazi ya mshahara ULIOLIPWA.
Kisha mchanganuo wa malipo
 
Mtaalam thibitisha maelezo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…