Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

Hiyo mpendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1810676
Screenshot_2021-06-06-20-30-47-467_com.android.chrome.jpg

Nakosea wapi au hii website haitumiki tena:

Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
😅😂 Mkuu nimeona mabadiriko, sasa ole wako nisipande hilo daraja la mfugale, nitakufungulia kesi ya kunitia matumaini hewa... ILA COMMENT YAKO INAFARIJI
 
Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine

Nimeona kwa mke wangu zimebadilika pale kwenye vote nr mshahara wa April na May zile nr tofauti
 
Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
Dah,Mkuu natamani hii hoja yako iwe kweli aisee
 
Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
JF bhana! Ina wataaluma wengi kweli.
Salary slip huwa taarifa hizi: (kuanzia kulia kwenda kushoto) usajili wa mwajiri, usajili wa idara, check namba, jina la mwajiri na ngazi ya mshahara ULIOLIPWA.
Kisha mchanganuo wa malipo
 
Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
Mtaalam thibitisha maelezo yako.
 
Back
Top Bottom