Huduma ya Vodacom supakasi imekaaje hii!

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k

Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje

wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja kukufingia antena ambayo sio moveable .
 
unapewa movable router,na speed za 5g ni kuanzia 30mbps,50mbps,100mbps mpk 350mbps
 
Back
Top Bottom