HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

Joined
May 22, 2017
Posts
74
Reaction score
33
Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi endelevu pasina changamoto kwenye maeneo ya kodi, uhasibu, ukaguzi.ushauri wa biashara na miradi, uwezeshaji wa biashara, ufuataji wa sheria,usajili taasisi za biashara na taasisi zisizo za kibiashara

1.Zifuatazo ni huduma ambazo zinazoweza kutolewa kwa ukamilifu na ufanisi pasina kuja au uwepo wa mteja ofsini kwetu au sisi kufika ofsini kwake.
✅Uwasilishaji wa ritani mbalimbali za TRA,
Yaani Ritani ya mwisho wa mwaka(ROI), ritani ya makadilio ya kodi(SOETP), Ritani ya kodi ya mapato(PAYE), Ritani ya kodi ya kuchangia maendeleo ya ujuzi(SDL), Ritani ya kodi ya zuio(Withholding tax return), ritani za kodi ya ongezeko la thamani (VAT returns) na ritani ya ya ushuru wa bidhaa(Excise duty return) etc
✅Huduma za ushauri wa kodi na biashara kwa ujumla kabla kufanya maamuzi kusajili na kuanza biashara.
✅Huduma ya kuombewa namba ya mlipa kodi (Online Tin registration)
✅Huduma mbalimbali za BRELA kama vile: Usajili wa kampuni, Majina ya biashara, usajili wa Ubia, kuhuhisha taarifa za makampuni, kuwasilisha BRELA ritani kila mwaka, kusajili alama za biashara na huduma(Trade mark & service mark), kufanya search mbalimbali kwa matumizi mbalimbali kama vile Bank, kuomba leseni za biashara kundi “A”, Kufanya mabadiliko ya kampuni kama vile mtaji, wanahisa, Eneo la ofsi nk,
✅Huduma za usajili wa biashara au kampuni kwenye taasisi na mamlaka nyingine za serikali Kama vile NSSF,WCF, OSHA, NEMC, NEST, LSSP
✅Huduma za maandalizi ya hesabu mbalimbali za biashara au kampuni kama vile Audited accounts, Management accounts na Statement of cash flow projections kwaajili ya kuwasilisha TRA, Benki na Miradi mbalimbali ya wafadhili.
✅Huduma ya mapingamizi ya kikodi (Tax objection)
✅Huduma ya kuomba misamaha mbalimbali ya kodi(Application of tax remission)
✅Huduma ya kuandaliwa mpango wa biashara na miradi(Business plan & Project proposal)

NB: Mwisho tunapenda kuwakumbusha wafanyabiasha na wamiliki wa taasisi zisizo za kiabiashara (Sole proprietors, Parnerships, Companies & Not for profit entities) kuwasilisha ritani ya makadilio ya kodi kabla ya kufika tarehe ya ukomo(31-03-2025) ili kuepusha penati zisizo na ulazima.

Kwa ushauri zaidi kuhusu huduma zetu wasiliana nasi:
Simu: 0712685025 / 0783262125
Barua pepe: [email protected]

#Miongozo #kitaalamu #Kodi#Uhasibu#biashara
#Ukaguzi#Momsconsulting
#Consultant_Silwano
 
Back
Top Bottom