Ile ilikuwa ni system iliyoachwa na wakoloni, idadi ya watu imeongezeka ilhali vyanzo vya maji bado ni vilevile. Mabomba mengi yameoza maana yamekaa ardhini zaidi ya miaka 60.Sijui tunafeli wapi?
Miaka ya nyuma nakumbuka idara ya maji walikuwa wanakuja kusoma meter zetu na watu wanalipa kwa mwezi nyumba nyingi zilikuwa na mabomba ya maji safi
Ooh those old days
Ile ilikuwa ni system iliyoachwa na wakoloni, idadi ya watu imeongezeka ilhali vyanzo vya maji bado ni vilevile. Mabomba mengi yameoza maana Tameka ardhini zaidi ya miaka 60.
Hawawezi kukubali maana maji na umeme ni karata kwny mambo yao ya kisiasa,so jibu ni NOSiyo kwenye maji tu ata umeme pia serikali imeshindwa kwenye mambo mengi sana kuitanua sekta binafsi kwanza ingeongeza ajira kama makampuni ya simu yalivyotoa ajira nyingi na pia kodi ingekuwa inalipwa kikamilifu bila mzunguko kuliko Tanesco na idara za. Maji zinavyofanya sasa zinapewa ruzuku lakin hakuna lolote
Ujamaa uliturudisha nyuma na baada ya hapo Vita ya Kagera ni wakati sasa wa kuacha collectiveness ideology, corporate business zinadeliver.Kweli kabisa nakubaliana na wewe ila kama wangeendeleza tangu wakati huo kungekuwa hakuna tatizo we could catch up with population
Tutafika taratibu
Si uliona kule kwa Lissu hawakupewa maji sababu jimbo haliko chini yao.Kama system inakwenda vizuri si credits zinarudi kwao na wananchi wanakosa malalamiko
Mfano tu kama kila kaya itawekewa flat rate ya 30,000 na vijijini 20,000. Managing Direrector awe Corporate na apewe nguvu za kufanya maamuzi mradi havunji sheria zilizotungwa na bunge kwa miradi ya jamii.
Kila kanda iwe na kampuni yake inayojitegemea na ikiwezekana serikali itafute share holders. Biashara iwe na msimamo wasiolipia maji wanakatiwa na kama kukitokea mahitaji ya matengenezo taarifa itolewe siku mbili kabla ili watu wahifadhi maji, na matengenezo yafanyike katika masaa 12 ya siku. Kama matengenezo yatakuwa ni zaidi ya masaa 24 magari ya maji yatoe huduma za maji mtaani.
Kama mna kipato mnakuwa na bomba la mtaa mnachangia 5,000 kwa mweziAuntie, hayo mawazo yako ni ya mtu akiyekulia na kulelewa mjini, ni non applicable katika maisha ya watu wengi wa kawaida ukitilia maanani kwamba watu wengi vipato vyetu ni vidogo.
Nimekuelewa mkuuSi uliona kule kwa Lissu hawakupewa maji sababu jimbo haliko chini yao.
Sasa Private Co's hawawezi wakaziendesha kihiivyo cz zenyewe zina angalia profit tu na zingepeleka maji tu huko na hapo ndipo watagombana na wenye 'inchi'.