Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Hizi kampuni za simu zimegeuka kuwa majizi lakini Serikali nayo inaangalia tu. Huduma za mobile money zipo juu sana. Makato ni makubwa sana. Serikali saidieni wananchi wenu tunaibiwa huku. Serikali komesheni huu unyonyaji unaofanywa na hii mitandao ya simu.