Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Miamala ikiwa juu, wao wanapata kodi kubwa zaidi. Nadhani wanaangalia zaidi kodi kuliko nafuu kwa mwananchi. Kizungumkuti kiko hapo.Hizi kampuni za simu zimegeuka kuwa majizi lakini Serikali nayo inaangalia tu. Huduma za mobile money zipo juu sana. Makato ni makubwa sana. Serikali saidieni wananchi wenu tunaibiwa huku. Serikali komesheni huu unyonyaji unaofanywa na hii mitandao ya simu.
Flyover na maujezi mengine mengine mengi. Kuna ununuzi wa midege kwa cash. Ndiyo vipaumbele vya awamu hii.