Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Mchawi ni serikali yako hiyo hiyo imeweka mpaka vat kwenye miamalaHizi kampuni za simu zimegeuka kuwa majizi lakini Serikali nayo inaangalia tu. Huduma za mobile money zipo juu sana. Makato ni makubwa sana. Serikali saidieni wananchi wenu tunaibiwa huku. Serikali komesheni huu unyonyaji unaofanywa na hii mitandao ya simu.
Kwani serikali lini ilikuwa kazini ?Hizi kampuni za simu zimegeuka kuwa majizi lakini Serikali nayo inaangalia tu. Huduma za mobile money zipo juu sana. Makato ni makubwa sana. Serikali saidieni wananchi wenu tunaibiwa huku. Serikali komesheni huu unyonyaji unaofanywa na hii mitandao ya simu.
Vat inalipwa na mlaji wa mwisho hivyo ni gharama ya mtumiaji wa mwisho na wala sio gharama kwa kampuni, haihusiani kabisa na hii migharama kuwa juu. Haya makampuni yamegeuka kuwa majizi huku serikali ikiangalia tu. Sijui kwa sababu wao wana hela nyingi hivyo hayawahusu haya makato.Mchawi ni serikali yako hiyo hiyo imeweka mpaka vat kwenye miamala
Atm ni nafuu mara 100. Mobile money ipo juu mno. Ni wizi mtupu. Hakuna hata sababu ya msingi ya kufanya gharama iwe juu.Bora kutoa atm Kuna unafuu kwa simu wanakata amount kubwa
Salio lako jipya ni TSh 95,466. Umetuma pesa kwa Wakala - HILDA kiasi TSh 70,000., Ada TSh 2,700. VAT TSh 412. Kumbukumbu No.: ******. 2/01/20 13:20.Vat inalipwa na mlaji wa mwisho hivyo ni gharama ya mtumiaji wa mwisho na wala sio gharama kwa kampuni, haihusiani kabisa na hii migharama kuwa juu. Haya makampuni yamegeuka kuwa majizi huku serikali ikiangalia tu. Sijui kwa sababu wao wana hela nyingi hivyo hayawahusu haya makato.
Mimi nishaacha kutumia hizi za simu Tena sikuhizi ndo wamepandisha maradufuAtm ni nafuu mara 100. Mobile money ipo juu mno. Ni wizi mtupu. Hakuna hata sababu ya msingi ya kufanya gharama iwe juu.
Kwenye kutoa ndio utajuta. Wanabamiza hasa.Salio lako jipya ni TSh 95,466. Umetuma pesa kwa Wakala - HILDA kiasi TSh 70,000., Ada TSh 2,700. VAT TSh 412. Kumbukumbu No.: ******. 2/01/20 13:20.
Hyo ni nini sasa?
Kuna siku utaitumia tu. Utabanwa na shida na njia ya haraka kuitatua itahitajika mobile money transaction.Mimi nishaacha kutumia hizi za simu Tena sikuhizi ndo wamepandisha maradufu
kwani kodi ni shilingi ngapi kwa thamani ya muamala kwanza,kabla hatujajua wa kumtwisha hili lawama??Msukuma hiyo serikali unayolalamikia wao ndio chanzo wameongeza kodi kwa makampuni ya simu kwahiyo uduma lazima iwe juu
Ulitaka upate mb ngapi kwa 500Eti Sasa hivi hata ukinunua kifurushi cha sh. 500 unapata mb 100. Yaani hawa jamaa wanapandisha gharama kila siku kiholela tu.
Zamani sh. 500 ulikuwa unapata mb 370. Kwani hata wakitoa mb 500 kwa sh. 500 Wana hasara gani?Ulitaka upate mb ngapi kwa 500
Mambo yanabadilika,gharama ni kubwa kwenye uendeshaji wa hizi huduma!Zamani sh. 500 ulikuwa unapata mb 370. Kwani hata wakitoa mb 500 kwa sh. 500 Wana hasara gani?
Nkoi..malizia tu kabisa kua hususani VODACOMHizi kampuni za simu zimegeuka kuwa majizi lakini Serikali nayo inaangalia tu. Huduma za mobile money zipo juu sana. Makato ni makubwa sana. Serikali saidieni wananchi wenu tunaibiwa huku. Serikali komesheni huu unyonyaji unaofanywa na hii mitandao ya simu.
mbona unauliza kama ndio uko hapo contol unabadirisha[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Ulitaka upate mb ngapi kwa 500
[emoji2960][emoji2960]mbona unauliza kama ndio uko hapo contol unabadirisha[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Tena anaonekana anahusika huko maana ana hasira kwelikweli 😅mbona unauliza kama ndio uko hapo contol unabadirisha[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]