Miamala ikiwa juu, wao wanapata kodi kubwa zaidi. Nadhani wanaangalia zaidi kodi kuliko nafuu kwa mwananchi. Kizungumkuti kiko hapo.Hizi kampuni za simu zimegeuka kuwa majizi lakini Serikali nayo inaangalia tu. Huduma za mobile money zipo juu sana. Makato ni makubwa sana. Serikali saidieni wananchi wenu tunaibiwa huku. Serikali komesheni huu unyonyaji unaofanywa na hii mitandao ya simu.
tunataka tujue kodi inaendaje huko,ili tujue nani ni jambazi.Miamala ikiwa juu, wao wanapata kodi kubwa zaidi. Nadhani wanaangalia zaidi kodi kuliko nafuu kwa mwananchi. Kizungumkuti kiko hapo.
Flyover na maujezi mengine mengine mengi. Kuna ununuzi wa midege kwa cash. Ndiyo vipaumbele vya awamu hii.
Ile ilikuwa promotion waingie vizuri kwenye soko lililoshikwa na Voda/Tigo.kipindi cha nyuma ilikuwa kutuma pesa bure kwenye airtel to airtel.. saiz wametukazia hakuna cha bure[emoji31][emoji25]