Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

legendury

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
21
Reaction score
15
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?

Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha.

Huduma Zetu ni Pamoja na:
  • Kufuatilia mambo yako ya TRA: Barua za TRA na jinsi ya kufanya hesabu zako na kuzihifadhi ili kujweza kujibu barua na mambo ya TRA yatakayotokea mbele
  • Uhasibu: Uwekaji wa vitabu, ripoti za kifedha, upangaji wa bajeti, na ukaguzi wa nHuduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arushadani
  • Ushauri wa Kodi: Upangaji wa kodi, ulipaji wa VAT na kodi ya kampuni, utatuzi wa migogoro ya kodi
  • Ushauri wa Biashara: Upangaji wa kifedha, usimamizi wa hatari, upyaishaji wa biashara
Kwa miaka ya uzoefu na uelewa mzuri wa kanuni za Tanzania, tunasaidia biashara kuboresha michakato ya kifedha, kuhakikisha ufuataji wa sheria za kodi, na kukuza faida.

Wasiliana Nasi Leo kwa Ushauri:
📞 Piga Simu: 0787905966
📧 Email: isaacsunday228@gmail.com
 
Wakati ni sasa wa kuanza kuandaa vitabu mapema na kwa wale wenye tatizo na TRA ndo muda sahihi wa kueka sawa ili next financial year uwe umepunguza makosa ...... Thank you
 
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?

Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha.

Huduma Zetu ni Pamoja na:
  • Kufuatilia mambo yako ya TRA: Barua za TRA na jinsi ya kufanya hesabu zako na kuzihifadhi ili kujweza kujibu barua na mambo ya TRA yatakayotokea mbele
  • Uhasibu: Uwekaji wa vitabu, ripoti za kifedha, upangaji wa bajeti, na ukaguzi wa nHuduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arushadani
  • Ushauri wa Kodi: Upangaji wa kodi, ulipaji wa VAT na kodi ya kampuni, utatuzi wa migogoro ya kodi
  • Ushauri wa Biashara: Upangaji wa kifedha, usimamizi wa hatari, upyaishaji wa biashara
Kwa miaka ya uzoefu na uelewa mzuri wa kanuni za Tanzania, tunasaidia biashara kuboresha michakato ya kifedha, kuhakikisha ufuataji wa sheria za kodi, na kukuza faida.

Wasiliana Nasi Leo kwa Ushauri:
📞 Piga Simu: 0787905966
📧 Email: isaacsunday228@gmail.com
Nyie ni kampuni? Mnatumia jina gani? Je naweza ona page yenu ya social media?
 
Hapana, sisi sio kampuni.

Ni viajana tulio unganisha nguvu na ujuzi wetu wa ki-hasibu ili kuweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Jina tunalotumia ni SEF Consulting.

Kwa sasa hatuna social media pages, unaweza kuwasiliana au ku-inquire chochote kupitia mawasiliano yafuatayo>

📞 Piga Simu: 0787905966
📧 Email: isaacsunday228@gmail.com

Asante sana.
 
Back
Top Bottom