A
wiki hii UTT AMIS wametoa APP mpya, ili uweze kuaccess account yako ni lazima uende ofisini kwao waka-activate manually!Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa.
Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho.
Ssa sisi ni wawekezaji au ombaomba?
Kama hauko karb na ofisi zao si changamoto hyo sswiki hii UTT AMIS wametoa APP mpya, ili uweze kuaccess account yako ni lazima uende ofisini kwao waka-activate manually!
mwenyewe leo nimefanya hivyo na nimeweza kupata access
ni kweli maana mamilioni ya watanzania ni wateja wao! sasa wote wakifika ofisini kwao ni shida kubwa!Kama hauko karb na ofisi zao si changamoto hyo ss
Hapo waliokufa inakuwaje?wiki hii UTT AMIS wametoa APP mpya, ili uweze kuaccess account yako ni lazima uende ofisini kwao waka-activate manually!
mwenyewe leo nimefanya hivyo na nimeweza kupata access
Tanzania ni kama tuko enzi za mawe. Ni nini maana ya application sasa kama ni lazima uende ofisini ku activate? Huo muda na cost wanakulipa? Ukichunguza sana utakuta hiyo app wamempa tenda kilaza anayebabaisha kutengeneza na wakapewa cha juu.wiki hii UTT AMIS wametoa APP mpya, ili uweze kuaccess account yako ni lazima uende ofisini kwao waka-activate manually!
mwenyewe leo nimefanya hivyo na nimeweza kupata access
ngoja tuwasubiri UTT AMIS wenyewe kama wana VPN ya kuingia JF kuona hii KeroTanzania ni kama tuko enzi za mawe. Ni nini maana ya application sasa kama ni lazima uende ofisini ku activate? Huo muda na cost wanakulipa? Ukichunguza sana utakuta hiyo app wamempa tenda kilaza anayebabaisha kutengeneza na wakapewa cha juu.
MrithiHapo waliokufa inakuwaje?