Huduma za VVIP na malipo kwa viongozi wa majeshi na wastaafu ziwe kwa watumishi wote wa umma au zifutwe

Tanguliza HESHIMA kwanza kwa amani .ulio nayo mpaka ukaandika haya. Ungeweza kuandika haya kweny Ardhi ya Gaza ? Walipo ishia Jeshi la Mungu waendeleee ifike 100kabisa. Jambo Afande.
Mwalimu nyerere angeamua kujilipa kwa uzalendo angechukua kila kitu kwa ukomboz wa nchi
 
Tanguliza HESHIMA kwanza kwa amani .ulio nayo mpaka ukaandika haya. Ungeweza kuandika haya kweny Ardhi ya Gaza ? Walipo ishia Jeshi la Mungu waendeleee ifike 100kabisa. Jambo Afande.
UZALENDO HAUNA POSHO
 
Nchi inajengwa na wazalendo na kuliwa na wenye meno.
 
Acha wivu wa kishuzi, Anza na mashobolonza wanasiasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…