Huenda 2020 tukawa hatuna chama kikuu cha Upinzani wala Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

Lakini ukifikiri sana, kwa aina ya siasa za kibabe ndani na nje ya bunge, sioni haja ya kuwepo kwa vyama pinzani hasa. Ni vya nini kama uwepo wake hatuuthamini na hatupo tayari kuviacha vifanye kazi zao za kisaisa?
 
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.

Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.

Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
Hata mimi natamani turudi kwenye chama kimoja ili wale watu wenye akili kama za magufuli na poor or no exposure kama magufuli wawe wanaelewa pale wenye akili na exposure wanawaeleza jambo
 
Ambacho hukijui ni kwamba 2020 hakuna mpinzani atarudi bungeni,siyo Zitto siyo Mbowe! Mkuu inaonekana wewe ni mgeni wa awamu ya tano!
Unajuaje Kama huyo incompetent individual kama atakuwa bado yupo hiyo 2020?
 
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.

Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.

Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!

Kisipokuwepo itapata faida gani.
 
Maridhiano tayari!

Umeona mawakili wa Kenya walivyotetea dhamana ya gavana Sonko?
Tanzania hukuona akina Jamali Malinzi waliokuwa na tuhuma ya zaidi ya dola laki moja wakaishia kulipa faini ya laki tano tuu ya shilingi ya Tanzania? Hata Tanzania kuna mawakili mahiri, usimchukulie poa Wakili Mselewa😃😃😃😃😃
 
Hahahaaaa....... Hahahaaaa....... Hiyo ndio bongo bhana!
 
ACT wazalendo itajinyakulia viti vya kutosha Pemba!

huna habari kuhusu tetesi za content ya muswada huko znz kuhusu wagombea kwa chama kipya kutokidhi vigezo wakiwa hawana uanachama wa miaka mitatu kwenye chama anachogombea?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wazanzibar wangeachwa wajiamulie mambo yao wenyewe!
 
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.

Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.

Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
Boss johnthebaptist Ni mbaya sana kwa AFYA ya Nchi.
 
Wapi 2020 hakuna cha ACT wala CDM ngosha anataka andike historia yakuumaliza upinzani Tanzania,

ngosha anacheka na wewe ila moyoni ana yake save hii post alafu 2020 njoo hapa, hao kina mbowe wanatumika kumvunja nguvu membe

yani wakijaa tu kwenye kapo ngosha anawatosa sababu ngosha anajua kabisa CDM ikibaki na nguvu yanaweza tokea ya lowasa CDM ikampokea membe kisha mnyukano ukaanza na nnyukano ukianza baina ya membe na ngosha kwa hali ilivyo ngosha achomoi lazima membe ambwage

sasa ngosha anataka isabaratisha CDM mapema ili membe 2020 akose pakukimbilia ACT haina nguvu kama CDM na wana CHADEMA msiposoma mchezo DJ anawauza tena kama 2015 maana DJ anaangalia maslahi yake si watanzania hayupo ajiri ya njaa na matatizo ya watz yupo ajiri ya maslahi yake binafsi
 
Ambacho hukijui ni kwamba 2020 hakuna mpinzani atarudi bungeni,siyo Zitto siyo Mbowe! Mkuu inaonekana wewe ni mgeni wa awamu ya tano!
Aliyekuambia kuwa watagombea ni nani?? Au shida/agenda yenu kuu ni hao watu wawili tu?? Pili alieyewaambia kuwa ccm itafika salama uchaguzi wa 2020??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom