Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

Hizi propaganda zenu hebu jaribuni kuzipeleka facebook na Instagram ndio sehemu zake,huku jaribuni kuja na propaganda zile za ndani sana (interior)labda mnaweza mkatushawishi,ndio maana huu mtandao umeitwa home of great thinkers
Wamekuja kishamba sana
 
Unajua kazi
Hivi tuulizane mpaka sasa Halima amefanya nini, tunamchora tu na kakitabu kake kale
Kazi kubwa ya mbunge ni kuwasemea wananchi wake bungeni hivyo kama kuna kitu hakijafanyika lawama zote ni kwa serikali ya ccm
 
Ni upuuz mtupu ila jitahdi kura yako umpe lisu
 
Msaada mkubwa kwenye nchi kwenye area ipi utapeli na utafunaji Kondoo wa bwana .
 

Wewe ndo Gwajima mwenyewe bila shaka alafu naona team gwajima imekuja kwa fujo kusupport hapa, bila shaka mlipeana task huko group la whatsapp kuja kushambulia
 
Tapeli tu kama mm na wewe hana lolote
 
Sitakupa kura mpumbavu na tapeli ...nitakuwa mtu wa mwisho kumpigia huyu tapeli hata kama amebakibi yeye duniani...ni hapana
 
Ni mkichaa tuu atakaye muunga mkono huyu mzinzi, askofu mchwara asiyekuwa na maadili ya kiongozi wa dini.
Hizo sifa anazo mwenyekiti wa saccos yako na chama chake. Kawe imetwaliwa toka mikononi mwa masagaji na kupewa mtumishi wa Mungu. Jambo hilo ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…