Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

Gwajima yuko vizuri sana anajua kujenga hoja natamani angekuwa mgombea kwenye jimbo letu.
 
Mbona alikuwepo mama Rwakatare hapo bungeni na huo unyenyekevu na ucha Mungu hatukuuona zaidi ya mchungaji Rwakatare kuunga mkono Zitto auwawe?
Hakuna kitu hapo, mangapi kawaaidi waumini wake huyo Gwajima miaka nenda rudi na hajatekeleza hata moja?.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Mama Rwakatale amemaliza safari sio vizuri kumuhukumu ila tumpe nafasi Gwajima anaweza.
 
Udini, idini, idini, idini,

Ukabils ukabila ukabila. Kuchanganya dini na siasa ndiko huku.

Ni wazi kabisa kuwa Gwajima bado ni askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima.

Wakati huo huo anagombea kupitia Chama cha Maponduzi.

Ama kwa hakika kama kuna watu wa vyama vingine ndani ya kanisa lake hawana tena askofu bali wao ni wapinzani wa askofu huyo mzinzi na mnafiki.

Alipaswa kuachana na uaskofu kama alivyofanya Dr. Slaa na kuingia kwenye siasa.

Endapo nchi yetu ingekua na mgombea Huru au mgombea binafsi basi angeweza kugombea. Lakini kugombea kupitia Chama wakati Chama hicho kiko wazi kabisa kuwa kina uadui mkubwa na chuki kubwa kwa wapinzani au watu wa vyama vingine kufikia hatua ya kutoa wito Mara kwa Mara bungeni na nje ya bunge kuwa wapinzani wauawe basi hakika Gwajima ni mchungaji aliyekimbia kondoo wake baada ya kuona mbwa mwitu au serikali imewasakama kondoo wake.

Akina Sylvester Gwamanya ni watu wa TISS miaka mingi ndio maana hatuwashangai.

Matapeli wote wamekimbilia CCM baada ya kuwadanganya watu na kujipatia fedha kama walivyo wasanii wengi waliojihusisha na biashara za madawa na Leo ndio wapiga debe wa CCM.

Nchi imevamiwa na wahuni na wananufaika mana watu wema wengi ni waoga sana. Waovu wengi wanajiunga na wakubwa ili mambo yao yaende kimya kimya.

Mtumishi wa Mungu wa kweli kama amebarikiwa kupata Mali na uwezo wa kuisaidia jamii sio lazima jamii imbebe kwa kutumia kodi zake kama ilivyombeba kwenye sadaka. Mbunge kwa mwezi mmoja analipwa zaidi ya mil. 12. Kwa wakati huu wa awamu hii yenye mateso makubwa kwa wafanyakazi ,hizo ni fedha nyingi sana. Na ni fedha zinazoweza kumbeba akakopa zaidi ya mil. 700 mpaka bil. 1.

Sasa tujiulize ni mtumishi gani wa Mungu anayeshindwa kujitolea kuwatumikia wananchi bila kutegemea fadhila kutoka kwa maskini?
Hawa ndio kama kunawale waliokaa karne zilizopita na kubadili vifungu vya biblia ili waitumie kuwatawala watu na kuwafanya watumwa wao.

Ninapootafakari mambo kama haya naamini kuwa Uislam umefanikiwa sana kwa kulinda Dini ya haki isichafuliwe na watu wanaotaka kuweka maslahi yao binafsi.

Eti kamati ya kuhamasisha Amani iwepo kwa wezi wa CCM na dhulma itendeke ili CCM ishinde hawaoni kuwa Gwajima anachanganya dini na siasa. Hawaoni kabisa!

Eti kuna watu wanahamasisha amani utafikiri Tanzania hakuna amani. Hizo kamati zinatakiwa huko Congo sio hapa . Hapa sisi tuna amani Tangu mkoloni alipoitawala Tanzania na kuweka mipaka hatujawahi kupigana wenyewe kwa wenyewe. Amkeni acheni kupumbazwa na waroho na walafi waliolewa pesa sasa wamatafuta kuitwa waheshimiwa.

Wanajua wazi kuwa roho za watanzania hazina amani kwa sababu hawatendewi haki.

Tatizo la watanzania ni dhulma tupu.

Amani tunayo!
 
Bishop. Gwajima ni bonge la kiongozi. Mtu asiye na kona kona. Hakika kawe itafurahi na kushangilia.
 
Udini ,idini idini,idini,
Ukabils ukabila ukabila,.
Kuchanganya dini na siasa ndiko huku .
Ni wazi kabisa kuwa Gwajima bado ni askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Wakati huo huo anagombea kupitia Chama cha Maponduzi.
Ama kwa hakika kama kuna watu wa vyama vingine ndani ya kanisa lake hawana tena askofu bali wao ni wapinzani wa askofu huyo mzinzi na mnafiki.

Alipaswa kuachana na uaskofu kama alivyofanya Dr. Slaa na kuingia kwenye siasa.
Endapo nchi yetu ingekua na mgombea Huru au mgombea binafsi basi angeweza kugombea. Lakini kugombea kupitia Chama wakati Chama hicho kiko wazi kabisa kuwa kina uadui mkubwa na chuki kubwa kwa wapinzani au watu wa vyama vingine kufikia hatua ya kutoa wito Mara kwa Mara bungeni na nje ya bunge kuwa wapinzani wauawe basi hakika Gwajima ni mchungaji aliyekimbia kondoo wake baada ya kuona mbwa mwitu au serikali imewasakama kondoo wake.

Akina Sylvester Gwamanya ni watu wa TISS miaka mingi ndio maana hatuwashangai.
Matapeli wote wamekimbilia CCM baada ya kuwadanganya watu na kujipatia fedha kama walivyo wasanii wengi waliojihusisha na biashara za madawa na Leo ndio wapiga debe wa CCM.
Nchi imevamiwa na wahuni na wananufaika mana watu wema wengi ni waoga sana. Waovu wengi wanajiunga na wakubwa ili mambo yao yaende kimya kimya.

Mtumishi wa Mungu wa kweli kama amebarikiwa kupata Mali na uwezo wa kuisaidia jamii sio lazima jamii imbebe kwa kutumia kodi zake kama ilivyombeba kwenye sadaka. Mbunge kwa mwezi mmoja analipwa zaidi ya mil. 12. Kwa wakati huu wa awamu hii yenye mateso makubwa kwa wafanyakazi ,hizo ni fedha nyingi sana. Na ni fedha zinazoweza kumbeba akakopa zaidi ya mil. 700 mpaka bil. 1.
Sasa tujiulize ni mtumishi gani wa Mungu anayeshindwa kujitolea kuwatumikia wananchi bila kutegemea fadhila kutoka kwa maskini.?
Hawa ndio kama kunawale waliokaa karne zilizopita na kubadili vifungu vya biblia ili waitumie kuwatawala watu na kuwafanya watumwa wao.

Ninapootafakari mambo kama haya naamini kuwa Uislam umefanikiwa sana kwa kulinda Dini ya haki isichafuliwe na watu wanaotaka kuweka maslahi yao binafsi.

Eti kamati ya kuhamasisha Amani iwepo kwa wezi wa CCM na dhulma itendeke ili CCM ishinde hawaoni kuwa Gwajima anachanganya dini na siasa. Hawaoni kabisa !

Amani tunayo!!
Kichwa chako kina buibui.
 
Gwajima ni phd holder yupo kwa ajili ya kuhudumia watu na siasa ni watu, tumpe nafasi anaweza sana.
 
Kusema ule ukwel gwajima anafaa sana kuwa kiongozi anawezo mkubwa kuongoza maelfu ya watu bila kuangalia mkubwa au mdogo au unacheo gan hakika kawe tunamepata kiongozi bora sana Gwajima kawe ni yeye
Hivi tuulizane mpaka sasa Halima amefanya nini, tunamchora tu na kakitabu kake kale
Kuna watu akili wamezikalia kabisa, huwezi kabisa kuwa na akili iko kichwani ukawaza kumchagua mtu tofauti na Gwajima kwa Kawe.
Tanzania inawahitaji watu Kama hawa naamini siku moja atakuja kuiongoza nchi na kutufikisha sehemu salama
Tangu Askofu Alipoamua kutia kwenye jimbo nilijua tu kuna hatua tutaipiga. Mimi naandika kila ahadi na ninasubir utekelezaji.
Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa kwa jamii. Nitaweka baadhi ya shahidi amabzo kwangu naona ziko sahihi.

1. Askofu kuwa mbunge ni alama tosha kuwa kuna alama ya unyenyekevu inaongezeka bungeni, na huu ndio muda pia maimamu wetu kuamka na kuchukua nafasi bungeni. Hii itasaidia mambo yanayopitishwa na bunge kuwa na maslahi ya kiMungu ambapo Mungu ndio mmiliki wa watu

2. Muamko mkubwa kwenye kampeni za Gwajima ambapo jambo kubwa linaloongelewa na wananchi ni NJOO UTUSAIDIE ASKOFU linaonesha wazi uwezekano wa Askofu Gwajima kuwa msaada unakuja kwa kasi jimboni

3. Sera za maendeleo zinazotolewa na Gwajima huenda zikaibadilisha Kawe kuwa mpya kama kauli mbiu ilivyo

4. Exposer yake nje na ndani ya nchi sio ya kubezwa na mtu, ameonekana kuanza maongezi na viongozi wa serikali huku akianza mara moja utekelezaji wa ahadi hata kabla ya kuapishwa. Watu waliokuwa na migogoro ya ardhi kule Chasimba wameishapata jibu lao mapema.

5. Kama Askofu Gwajima atashinda ubunge. huenda tukaanza kujilaumu kwanini hatukujua mapema tukamshtua agombee ile miaka 10 tuliyokuwa tunaongozwa na Halima Mdee ambaye amemaliza muda wake

Imeandikwa na;
Mchambuzi Huru
Naona mataga mmekuja kujifariji humu jukwaani [emoji23][emoji23][emoji23],vp lkn wakuu gwajima anatoa ile part 2 lini ?
 
Bishop. Gwajima ni bonge la kiongozi. Mtu asiye na kona kona. Hakika kawe itafurahi na kushangilia.
People like Polepole who spent most of their time explaining what they have done mean they have done nothing. Development is something which can be seen is not invisible. They are something wrong with this regime i pray day and night for the change cos is only thing we need now
 
Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa kwa jamii. Nitaweka baadhi ya shahidi amabzo kwangu naona ziko sahihi.

1. Askofu kuwa mbunge ni alama tosha kuwa kuna alama ya unyenyekevu inaongezeka bungeni, na huu ndio muda pia maimamu wetu kuamka na kuchukua nafasi bungeni. Hii itasaidia mambo yanayopitishwa na bunge kuwa na maslahi ya kiMungu ambapo Mungu ndio mmiliki wa watu

2. Muamko mkubwa kwenye kampeni za Gwajima ambapo jambo kubwa linaloongelewa na wananchi ni NJOO UTUSAIDIE ASKOFU linaonesha wazi uwezekano wa Askofu Gwajima kuwa msaada unakuja kwa kasi jimboni

3. Sera za maendeleo zinazotolewa na Gwajima huenda zikaibadilisha Kawe kuwa mpya kama kauli mbiu ilivyo

4. Exposer yake nje na ndani ya nchi sio ya kubezwa na mtu, ameonekana kuanza maongezi na viongozi wa serikali huku akianza mara moja utekelezaji wa ahadi hata kabla ya kuapishwa. Watu waliokuwa na migogoro ya ardhi kule Chasimba wameishapata jibu lao mapema.

5. Kama Askofu Gwajima atashinda ubunge. huenda tukaanza kujilaumu kwanini hatukujua mapema tukamshtua agombee ile miaka 10 tuliyokuwa tunaongozwa na Halima Mdee ambaye amemaliza muda wake

Imeandikwa na;
Mchambuzi Huru

Labda kwenye kutoa majini feki
 
Hizi propaganda zenu hebu jaribuni kuzipeleka facebook na Instagram ndio sehemu zake,huku jaribuni kuja na propaganda zile za ndani sana (interior)labda mnaweza mkatushawishi,ndio maana huu mtandao umeitwa home of great thinkers
 
Back
Top Bottom