Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja kwa hoja..kumwambia mwenza hana akili kwa hoja aliyoleta bila wewe kuijibu, inamaanisha akili yako imeshindwa kuielewa hoja.Kuna sentensi rahisi ya kuku elezea zaidi ya kukuambia" huna akili"?
Kumchagua Gwajboy ni sawa na kuwa muumini wake.Hivi tuulizane mpaka sasa Halima amefanya nini, tunamchora tu na kakitabu kake kale
Umesahau kuwa Bashite alisema Gwajboy anauza madawa?muuza madawa Alkuuzia eee acha ufala wewe
Alipigwa maswali na mzee mmoja akalowa, Huyo mpelekee mkeo.Hakika nchi kama Tanzania ina muhitaji
Hii ni kweli kabisa kwa nchi kama Tanzania inamuhitaji mtu kama Gwajima.
Gwajima ni mtu mwenye uwezo wa kusimama mbele ya mtu yeyote na kueleza changamoto au kutoa hoja.
Gwajima hawezi akaona nchi ina matatizo akanyamaza bila kuliongelea hawezi akaona tatizo katika nchi aka lifumbia macho hivyo Tanzania tuna kila sababu ya kumkubali Gwajima kuwa kiongozi haswa kwa jimbo la Kawe.
Mwisho Tanzania tuache siasa za maisha binafsi tuangalie ukweli wa na ushujaa wa mtuu na power yake
Mkuu unajua hata wewe unafaa kuwa muumini wa Gwajboy kama bado hujawa muumini wake.Usiwaze kwa akili yako ya utopolo, kwani marangapi umefanya ujinga? Na si kila lililopo mtandaoni ni la kweli. Tutakubaliana kuwa hakuna mkamilifu hata wewe hufanya ujinga ila haikuzuii kuiongoza familia yako au kile unachokisimamia.
Gwajiboy huyoZitto yupi unayemsemea wewe? Acha akili mgando kabisa na ujue kuna watu wanakutegemea utoe mawazo yenye maana
Kumtukana mtu kama spleen and the likes ni kujishusha hadhi, watu kama hao unawadharau tu.Jibu hoja kwa hoja..kumwambia mwenza hana akili kwa hoja aliyoleta bila wewe kuijibu, inamaanisha akili yako imeshindwa kuielewa hoja.
Sasa, asiyekuwa na akili ni nani hapo.
Mkuu Moto Ulao , naunga mkono hoja, ila hiyo kauli ya "kama Askofu Gwajima atashinda ubunge", iondoe, hii ni kauli ya probability kuwa anaweza akashinda au asishinde!, Mimi ni mwana Kawe, hakuna probability ya CCM kushindwa, Askofu Gwajima ni Mbunge wa Kawe anayesubiri kuthibitishwa tuu hiyo tarehe 28 October, kwasababu Mhe.5. Kama Askofu Gwajima atashinda ubunge. huenda tukaanza kujilaumu kwanini hatukujua mapema tukamshtua agombee ile miaka 10 tuliyokuwa tunaongozwa na Halima Mdee ambaye amemaliza muda wake
Imeandikwa na;
Mchambuzi Huru