Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Ndugu zangu siasa ni kitu kigumu Sana si kitu cha kuji husisha nacho Sana
Nakumbuka kipindi Dkt. Slaa anagombea kiti kile kikuu kwa tiketi ya chadema alionekana wazi wazi kwamba huenda akawa ndiye next Tanzania President kupitia upinzani kwa wakati ule.
Hasa ukiangalia mtiti aliokuwa anaukusanya kwenye mikutano yake.
Lakini gafla ikatokea mzee huyu akapigwa chini, hatujakaa sawa Lowassa akawa mgombea!
Hapa huwa najiuliza sijui nini kilifanyika na ninani aliratibu mchezo ule na kwa maslahi gani mpaka akamwingiza fisi awa pambanie kondoo haki zao, nashindwa kupata jibu.
Baada ya muda akatokea mzalendo na mjuzi wa Sheria mwenye uchungu wa dhati na inchi yake aliye kuwa tayali hata kuyatoa maisha yake kwa inchi yake.
Mtu huyu baada ya kuonyesha uthubutu ambao haukuwai kufanywa na wapinzani wengine kabla ghafla akashambuliwa kwa risasi na kulazwa kwenye hospital ambayo kwa hali yake na mazingira yaliyo kuwepo hakustahili kulazwa pale, lakini hapo hapo akatokea mtu kutokea chama pinzani na Lissu na mtu huyo kwa kibali chake Lissu akaenda kulazwa Kenya ambapo huko alisafirishwa mpaka ughaibuni kwa ajiri ya matibabu yake mpaka kupona kwake.
Na kipindi wakati yupo hapo Kenya ali tembelewa kwa ajiri ya kujuliwa hali na Rais wetu wa sasa Rais Samia kabla ya kwenda kutibiwa nje huko.
Sasa najiuliza kwanini mtu wa chama pinzani na Lissu aliamua kumsaidia huyu bwana kumtoa hapa mpaka Kenya wakati huohuo Lissu akiwa mpizani wake?
Je, tu huyo wa chama pinzani na Lissu alitegemea nini kutoka kwa Lissu baada ya kupona? Hilo nalo bado nifumbo linalo hitaji kulifumbua.
Kikubwa zaidi kinacho shangaza huyo huyo Lissu ndiye mpinzani mkubwa wa sasa wa Samia, na Samia ndiye mtu aliyeenda kumtakia hali akiwa huko Kenya pamoja na kuchimbwa mkwara na kiongozi wa wakati ule.
Cha ajabu leo unaweza kumwona Lissu akimsimanga na kumsema vibaya Samia Kama mpinzani wake na wakati huo huo naona kama hakuna maelewano mazuri baina ya Mbowe na Lissu.
Hapa pia najiuliza Nini kinaendelea lakimi pati jibu sahihi!
Akili yangu inaniambia huenda Mungu na shetani si maadui kama tunavyofikiri au kuaminishwa na wachungaji namashehe wetu, pengine labda nima rafiki wa kushibana.
Wala hawabaguani kama tunavyo baguana lakini ni nani aliyeamuru kumpiga risasi risu?
Je, mtu huyu alikuwa upande upi na chama kipi?
Je, hakushirikiana na mwanachama mwenzie aliye thubutu kumsaidia Lissu kwenda kutibiwa nje?
Je, aliyeamuru Lissu kupigwa risasi alikuwa nani au alikuwa na lengo gani kwenye inchi hii? Adui au rafiki wa inchi?
Na huyu aliye msaidia Lissu kutoka nje kwa ajili ya matibabu atakuwa ni adui au rafiki wa inchi yetu?
Je, Mbowe ni nani pale CHADEMA, ni mpinzani au mfifishaji wa Wapinzani wa kweli na wanaharakati wazalendo wa inchi hii?
Nina maswali mengi yanayo nichanganya lakini kwa leo acha ni ishie hapa kwa kusema; huenda Diamond na Konde wanakutana na kunywa pamoja nje ya ulimwengu wa kamera/nje ya mziki japo kwa siri sana.
Huenda CHADEMA ni CCM na CCM ni CHADEMA na huenda Mbowe ni CCM lakini walio chini hawalijui hilo!