Huenda CHADEMA ni CCM na CCM ni CHADEMA lakini mbele ya kamera wanatuzuga!

Huyu ni mpumbavu sana kichwani anajifanya hajui uhuni uliofanyika Kwa muda wote? Shenzi type!
Unazingua kwani kuto kujua nikosa?

Na niyupi mpumbavu Kati yayule anaye taka kujua kwa kuuliza na yule anaye mwita mpumbavu anaye uliza?
 
Nimejitahidi kusoma lakini nimejikuta nakereka kwa sababu ya uandishi wako. Kiufupi sijui umeandika lugha gani maana sio kiswahili wala kiingereza lugha ambazo ninazijua kwa umbali.
Mf
Risu ni nini?
Hakili ni vitu gani?
Hari ni neno la lugha gani🫢🫢🫢
Anahitaji kurudishwa primary school
 
sasa najiuriza kwanini mtu wa chama pinzani na risu aliamua kumsaidia huyu bwana risu kumtoa hapa mpaka Kenya wakati huohuo risu akiwa mpizani wake?
Ungejipa Nafasi ukamjua Salim Abdulla Turky Mbunge wa jimbo la Mpendae( R.I.P) ingejua kwanini alimtokea Ndege kwenda Kenya. He was man of God...

Kazi za Lissu kila mpenda amani, haki na maendeleo anazi admire. Wengine hawajitokezi wazi wazi kutokana na maslahi yao( kinga).

Ulikuwa unajua kuwa Rais Mstafu Alihassan Mwinyi alikuwa akimtembelea Lissu Kenya?

Lissu is going to be Next President soon or later.

Amini nakwambia.
 
kikubwa zaidi kinacho shangaza huyo huyo risu ndiye mpinzani mkubwa wa sasa wa SSH""

na SSH ndiye mtu aliye enda kumtakia Hari akiwa huko Kenya pamoja na kuchimbwa mkwala na kiongozi wa wakati ule
Maswali yako mbona yana majibu? Kama kweli wewe ni mfatilia siasa...

Samia kwenda kumtembelea Lissu akiwa anaumwa ni tukio la kibinadamu la kiutu. Lakini kwenye kuongoza Nchi Dr Samia hawezi kuachwa tu hata kama anakosea.

Lissu anahaki ya kuchuana naye amtoe madarakani tupate kiongozi bora.
 
Ungejipa Nafasi ukamjua Salim Abdulla Turky Mbunge wa jimbo la Mpendae( R.I.P) ingejua kwanini alimtokea Ndege kwenda Kenya. He was man of God...

Kazi za Lissu kila mpenda amani, haki na maendeleo anazi admire. Wengine hawajitokezi wazi wazi kutokana na maslahi yao( kinga).

Ulikuwa unajua kuwa Rais Mstafu Alihassan Mwinyi alikuwa akimtembelea Lissu Kenya?

Lissu is going to be Next President soon or later.

Amini nakwambia.
Sikatai mkuu Inawezekana lakini itakuwa kupitia chama gani ccm au chadema?
 
Ule upepo ulikuwa balaaa
Ndomana wale jamaa wakaona
Watumie nguvu kuwapunguza kasi wapinzani

Ova
 
Ndugu zangu siasa ni kitu kigumu Sana si kitu Cha kuji husisha nacho Sana

Nakumbuka kipindi Dkt. Slaa anagombea kiti kile kikuu kwa tiketi ya chadema alionekana wazi wazi kwamba huenda akawa ndiye next tz president kupitia upinzani kwa wakati ule

Hasa ukiangalia mtiti aliokuwa anaukusanya kwenye mikutano yake.

Lakini gafra ikatokea mzee huyu akapigwa chini

hatujakaa sawa rowasa akawa mgombea

hapa huwa najiuliza sjui Nini kilifanyika na ninani Ali ratibu mchezo ule na kwa masrahi gani mpaka akamwingiza fisi awa pambanie kondoo haki zao?

Nashindwa kupata jibu

Baada ya mda akatokea mzalendo na mjuzi wa Sheria mwenye uchungu wa dhati na inchi yake aliye kuwa tayali hata kuyatoa maisha yake kwa inchi yake

Mtu huyu baada ya kuonyesha uthubutu ambao haukuwai kufanywa na wapinzani wengine kabra

Mtu huyu ghafla aka shambuliwa kwa risasi na kulazwa kwenye hospital ambayo kwa hali yake na mazingira yaliyo kuwepo hakustahiri kulazwa pale lakini hapo hapo akatokea mtu kutokea chama pinzani na Lissu na mtu huyo kwa kibari chake Lissu akaenda kulazwa Kenya ambapo huko alisafirishwa mpaka ughaibuni kwa ajiri ya matibabu yake mpaka kupona kwake"

na kipindi wakati yupo hapo Kenya ali tembelewa kwa ajiri ya kujuliwa Hari na raisi wetu wa sasa/SSH kabla ya kwenda kutibiwa nje huko""

sasa najiuriza kwanini mtu wa chama pinzani na risu aliamua kumsaidia huyu bwana risu kumtoa hapa mpaka Kenya wakati huohuo risu akiwa mpizani wake?

je! Mtu huyo wa chama pinzani na risu alitegemea Nini kutoka kwa risu baada ya kupona??

Hilo nalo bado nifumbo linalo hitaji kulifumbua

kikubwa zaidi kinacho shangaza huyo huyo risu ndiye mpinzani mkubwa wa sasa wa SSH""

na SSH ndiye mtu aliye enda kumtakia Hari akiwa huko Kenya pamoja na kuchimbwa mkwala na kiongozi wa wakati ule

Cha ajabu leo unaweza kumwona risu akimsimanga na kumsema vibaya SSH"" Kama mpinzani wake

na wakati huo huo naona Kama hakuna maelewano mazuri baina ya mbowe na risu

Hapa pia najiuliza Nini kinaendelea? Lakini spati jibu sahihi

Hakili yangu inaniambia huenda mungu na shetani si maadui Kama tunavyo fikiri au kuaminishwa na wachungaji namashehe wetu

pengine labda nima rafiki wa kushibana

Wala hawabaguani kama tunavyo baguana lakini ninani aliye amuru kumpiga risasi risu?

Je mtu huyu alikuwa upande upi na chama kipi?

Je hakushirikiana na mwana chama mwenzie aliye thubutu kumsaidia Lissu kwenda kutibiwa nje?

Je aliye amuru risu kupigwa risasi alikuwa Nani au alikuwa na lengo gani kwenye inchi hii

Adui au rafiki wa inchi?

Nahuyu aliye msaidia risu kutoka nje kwa ajiri ya matibabu atakuwa ni adui au rafiki wa inchi yetu?

Je, Mbowe ni nani pale CHADEMA ni mpinzani au mfifishaji wa Wapinzani wa kweli na Wana harakati wazalendo wa inchi hii?

Nina maswali mengi yanayo nichanganya lakini kwa Leo acha ni ishie hapa kwa kusema

Huenda diamond na konde Wana kutana na kunywa pamoja nje ya ulimwengu wa kamera/nje ya mziki japo kwa Siri Sana

Huenda chadema ni ccm na ccm ni chadema na huenda mbowe ni ccm lakini walio chini hawalijui hilo
Akihamia Mpina tunaenda naye huyo huyo.Tunaachana na Lisu
 
Risu ndo nani?
 
Back
Top Bottom