Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

Kwani Rais ni fisadi?

Sijasema Rais ni fisadi Bali wewe ulikuwa mpinga ufisadi enzi za escrow. Ila Sasa umekuwa mteteaji wa Rais. Siku likitokea tatizo la kifisadi kwa Rais utamtetea tu.
 
CHADEMA Kafulila atawatesa sana Kama hamtakuwa na mtu wa Kum counter vizuri,

Kafulila katokea CHADEMA ndio nyumbani kwake. Alifukuzwa CHADEMA akaenda NCCR baada ya kuangushwa ubunge 2015 akarudi CHADEMA. Magufuli akamuazima CCM maana aliwapenda Sana vijana wa CHADEMA kuliko CCM. Sasa mtoto wa CHADEMA hawezi kupigana na baba yake.
 
Kafulila ni CCM, CHADEMA Jengeni kwanza Ofisi ndio mje tu -argue hapa
 
Kafulila kinachombeba ni kuchukia wizi na Ufisadi, kiongozi yoyote lazima atamkubali huyu Mwanasiasa,
 
Hapa Trump katoka Democratic, so Kuhama Chama sio ajabu
 
Hapa Trump katoka Democratic, so Kuhama Chama sio ajabu
Kuna watu hawatamani kabisa atokee mtu wa kumsemea Mama,
Mbona Magufuli alisemewa sana na watu na hapakuwa na haya maneno ya "Oooh Chawa "
 
Kafulira umejitahidi lakini punguza umbea.
 
Tumbili hujachoka tu.
Tafuta mradi ulishe familia!
 
Kafulila ni kiongozi mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…