Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

Mteueni tu huyu mtu hana makando kando ya Wizi Au Ufisadi
 
Watu wa Kigoma ni mabingwa sana wa uchawa.
Kama kuna uhalisia hivi angalia zzk, Baba levo, mwijaku, issa azam, hata simba mwenyewe. Kasoro labda linex ndio sio chawa.

Kafulila ni kama hajawahi kueleweka kwa jamii. I dont see anything tangible out of his politics. Inabidi abadili techniques yeye kumtofautisha na zzk haiwezekaniki.
Bado wanachi hatujamuelewa yeye ni chawa au kiroboto
 
Kafulila Siasa zake ni za Kitaifa na ni mtu Mwadilifu sana ndio jambo ambalo Mimi nalipenda toka kwake
 
Vijaa wa Kigoma na UCHAWA mavi na KUJIKOMBA KOMBA ni Pete na Kidole.
 

Attachments

  • Fh8w3VuWIAEnh7K.jpeg
    35.9 KB · Views: 2
Sure jamaa life yake simple sana pale kwao Uvinza anajenga lodge 4 yrs now still pagale dada ambalo halieleweki
 
Kafulila anawapa shida Sana BAVICHA
 
BAVICHA mna nini na Kafulila?
 
Ila Kafulila anakauzalendo ndani yake tukubali tukatae
Watu wote wanaohama hama vyama kama Kafulila, ni wasaka fursa. Mara yupo CHADEMA, mara ACT, mara CCM. CCM ikitoka madarakani, hutamwona Kafulila huko. Anatafuta mahali pa kumpa uhakika wa shibe.

Kuna wakati wowote ambao Kafulila alikosa kumsifia mtawala?
 
Ni wapi Jamaa amesema anasaka UTEUZI?

Mwacheni mtu afanye anachokipenda nacho ni kumpigania Mama Samia Suluhu Hassan
Anampigania Mama Samia, amesikia kuwa Rais kama ameshindwa kujipigania? Anampigania Rais, kwani Rais yupo kwenye vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…