mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake.
Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32 YEARS🥺
Yaleyale ya Amis Tambwe eti alikuwa na 23, Josh Onyango 22., wamekomaa kuliko Kikwete mwenye 74
Mudathir Yahya naye kutudanganya kuzaliwa 1996 wakati 2011 yuko Azam ya wakubwa,urongo
Ibrahim Ajibu alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 38
Mutale na Aucho mimi sina la kusema,aliyegundua supwr black amewasaidia sana,huwezi kuota uwaraza kama ule ukiwa na miaka 22
Muda sahihi wa kununua kipimo cha umri nchini,isije ikawa tunafukuza wazee na kusajili wazee
Bongo sihami